Speaking of Kimbinyiko hata yy VIP zake Zipo DAR DOM ambazo ni DQC series mbili na DCWWe Jamaa ni kabishi sana,umesoma Bango la hiyo shabiby?
Kwa taarifa Yako Sasa Shabiby atakuwa anatoa gari mbili kwenda Mbeya na kurudi Dom saa 12 na Saa 1 zote VIP.
Pili anaanza route ya Mbeya-Dar VIP Class kama kawaida.
Shabiby ni VIP Class Toka kitambo sana Kwa route ya Mbeya,yeye na Kimbinyiko.
Kashusha ishirin mbeya anapeleka vip tembelea kwenye kurasa zakeShabiby akileta hizo 2by1 kama uliyotuma picha ziende Mbeya Dom au Dar Dom nimekaa pale
Hizo VIP so far zipo mbili tu na huwa zipo mbili kwake mara kibao tu toka zikiwa DEN, zikaja DPP kisha DYS.
Hizo za Dar Mbeya ni 45 seater buses with 2*2 seating arrangement brother plus hata za Mbeya Dom labda abadilishe lkn kwa sasa zipo 57 seater buses sasa sijui unabisha nn.
Anyways kakate tiketi kwenye hizo route mbili ulizotaja ukipata 2by1 bus nidai pesa yako
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Wewe uliye serious unaishi wapi?Mtu uko serious kabisa unaishi kahama sijui njombe mara songea duh
Ndio kashusha 20 ECH seriesKashusha ishirin mbeya anapeleka vip tembelea kwenye kurasa zake
Mikochen mkuuWewe uliye serious unaishi wapi?
Karibu mwanzaKwa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Ally's ni chinga tuu
Tunazidi kuwasaidia maisha.Here Comes The Off-Road Express.... NYEHUNGE.View attachment 2580773
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Mbeya hakuna uswazi lakini kuna vibanda vya mbuzi.Utawasikia Haters wakikwambia eti Mbeya Kuna uswazi 🤣🤣View attachment 2576497View attachment 2576498View attachment 2576499View attachment 2576501View attachment 2576502
Huko mnakokumbwa na Mafuriko Kila siku,kunuka na mafoleno ya hovyo siwezi ishi hata siku Moja..Mikochen mkuu
Wanazidi kumiminika kuja kuishi na kutembea jijini Mwanza
Matajiri wa Kusini wanaendelea kuwapa maisha nyie nyumbu wa Lake zone 😁😁Karibu mwanza
Route mbili now.
Via singida na via tabora..
Mwanza ni kama maji Kila kampuni timamu lazima lije hukuView attachment 2580750
Hizo changamoto za kawaida.utapoumwa n'a nyoka huko kahama utakumbukaHuko mnakokumbwa na Mafuriko Kila siku,kunuka na mafoleno ya hovyo siwezi ishi hata siku Moja..
Nimekaa sana Goba ila sijawahi ipenda Dar japo beaches zake ndio Huwa nazipenda.