Kahama VS Njombe/Mafinga

Kama hiyo dodoma inkiwango kikubwa cha umaskini na kila siku inajengwa na serikali kweli nimeamni majengo ya serikali hayana tija kiuchumiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dom imeanza lini kujengwa na Serikali acha kujitetea.

Impacts yake itaonekana baada ya miaka 10
 
Dom imeanza lini kujengwa na Serikali acha kujitetea.

Impacts yake itaonekana baada ya miaka 10
Kila siku naona ndio inazidi kudidimia tofauti na hizo hiO za zilipendwa, hata hivyo dodoma ni kisima cha omba omba wakina matonya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…