Kahama VS Njombe/Mafinga

Suala la mabus ukitoa dar mwanza namba mbili kiufup mwanza ni namba mbili Kila kitu japo ad namba moja inashika mfano majengo yanayoendelea kujengwa Iko namba moja
 
Ukiona company imeleta bas halafu hazina route MWANZA ujue hyo company bado inajipanga au Haina Hela za kutosha maana sisi huku mwanza wamiliki WA mabus sio waarabu ni ngosha,kurya,na nshomile usicheze na Kanda ya ziwa
 
Gari ruti ya Lusaka dar ...inawahusu nini mbeya
Haituhusu Kwa sababu Huwa haipakii Abiria wa Mbeya Wala Tunduma na hiyo picha haijapigwa Mbeya imepigwa Lusaka 🤪🤪🤪🤪

Mwisho Wala haipiti Mbeya Huwa inapitia Mwanza 🤣🤣

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…