Kahama VS Njombe/Mafinga

Nikajua Mikoa ya Kanda ya Ziwa Haina utapiamlo.kumbe imo
.

Kwa hiyo unamkia ila unamcheka mwenye mkia mrefu au?
We huoni kuwa mikoa yote ya kusini ipo kwenye top ya mulnutrition

Kati ya Mikoa 10 .mikoa 5 yote ni kusini
..aibu hii
 
We ulitaka zitajwe ngapi ,...kwani ulipokuwa primary,, zawadi ya ufaulu mlikuwa mnapewa Hadi nyinnyi wa nafasi ya 9
...
List Ina
Iringa,
Kagera,
Rukwa,
Njombe,
Mbeya,
Ruvuma,
Simiyu,
Geita,

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…