Kahama VS Njombe/Mafinga

Leta magorofa ya bukoba yakifka kumi bukoba imeshinda
Kumbe unataka maghorofa


Kwa hiyo mji ni kuwa na maghorofa kama ni hivyo basi vijiji vya muleba na misenyi ni miji maana kuna maghorofa kibao huko migombani



Choiceavailable hebu leta takwimu zako za maghorofa....

Kagera ni mkoa wa kumi kwa idadi ya maghorofa ina maghorofa zaidi ya 700 huku iringa ina maghorofa 500 hao ni NBS sio mimi
 
Hakuna mji hapo me naona mabanda ya kufugia kuku wa kisasa.

Usiletee takwimu walizokusanya watu wanaohesbia mbk mabanda wansema nyumba leta picha za hayo magorofa ya kagera nyumbu huwa mnaaminishwa ujinga mnaamn
 
Kagera huto tugorofa tuko mashambani huko na nyingi ni makazi ya watu sio majengo ya biashara ndio maana Mji umedumaa.
 
Bukoba hapo
mnazaliana kama nyumbu alaf akili zero
Proof kwamba hapo ni Bukoba?...mimi najua nyumba za Bukoba zimezungukwa na migomba na kahawa sasa hii ni Bukoba vijijini ya wap kaka....

Au utakuwa unatafuta nyumba za wahamiaji wa kirundi waliojificha biharamulo na ngara huko




Kwa Tanzania hii ukiachana na huko moshi hakuna mkoa wenye vijiji vyenye makazi bora kama Vijiji vya kagera hasa kwa wahaya na wanyambo....





Vijijini huko muleba, misenyi na Bukoba vijijini
 
Unapenda kujifanya chizi kila muda, leta miji yenu tuone kama inaweza kupimana ubavu hata na bariadi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bariad level ya mafinga maana ndo size bdo mafinga ipo juu mbali lbda tufananishe na kata 3 za jiji la mbeya
 
Kuna nyumbu ilisema bukoba rami mbk vijijini hapo kwel nimekubal kweli nyie ni nyumbu hamjawah kuwa na akili
Sasa huoni anatoka shambani huyo? Ndo maana nasema hamna akili...kwanza ana viatu na anafanya kazi nyinyi si mnasema sijui wavivu...na hapo ana nyumba kali na watoto wake wanaenda shule...hvyo ndo watu wa kagera walivyo...
 
Watapita wakiwa wamevaa baibui na miwani nyeusi kama vile hawaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…