Kahama VS Njombe/Mafinga

City of mkwawa leteni picha ya kijiji cha bukoba tuone
[emoji23][emoji23]...cheki slums kule nyuma...hii ndo inalinganishwa na Bukoba.....

Eti tuna manufacturing za pipi[emoji23][emoji23]


Mtu ukimuuliza Bukoba kuna shida gan atakwambia stendi na soko......people watu wanajaji mji wa bukoba kwa kuongalia stendi na soko?


Tuendelee kutoa facts...

.
 
[emoji23][emoji23] mji wa barabara moja kama mbeya...


Hebu nitajie mtaa wa manispaa ya Bukoba ambao haufikiwi na barabara ya lami na ukiwepo natoka humu jf forever[emoji23]
Kwamba Mbeya Haina Barabara za mtaani au unataka kusemaje bwashee
 
Hakuna mji hapo me naona mabanda ya kufugia kuku wa kisasa.
 
Ukileta picha ya bukuba CBD ctabishana na wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…