Kahama VS Njombe/Mafinga

Sio tuu viwanda unaijua kampuni ya Asas wewe?
Naomba tuseme ukweli...hiv unaweza linganisha kiwanda cha kagera sugar na hivyo viwanda vya pipi na maziwa

Kagera sugar inazalisha 35% ya sukari yote nchini...wasitishe uzalishaji uone kama mtaishi hapa nchini....
 
Hizo pipi ata nyumbani huwa tunatengeneza
 
Naomba utaje hizo manafacturing industry za iringa
manufacturing ya kutengeneza pipi

Narudia kagera sugar tu wasitishe uzalishaji wa sukari mwezi tu uone kama hamuandamani kama wakenya

Hiz chini ni moja ya brands toka Bukoba....
 
Kuna ndezi mmja alisema eti Kigoma ndio Kuna Lake Tanganyika pekee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kasanga Port in Rukwa is second in terms of volumes and rwvunues after Kigoma.

Kuna ndezi mmja alisema eti Kigoma ndio Kuna Lake Tanganyika pekee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kasanga Port in Rukwa is second in terms of volumes and rwvunues after Kigoma.

Angalia hapa wewe kiazi mbonyeoπŸ‘‡πŸ‘‡
 
Niangalie nini Sasa we pimbi? Kigoma na Rukwa ndio ina Lake coastline ndefu kwenye Lake Tanganyika
Lakini hazipo nyanda za juu kusini😝😝😝, kila siku unaipost sumbawanga ambayo haipo hupo mashamban kwenu.
 
Lakini hazipo nyanda za juu kusini😝😝😝, kila siku unaipost sumbawanga ambayo haipo hupo mashamban kwenu.
πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ Rukwa ipo Kanda gani bwashee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…