ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,245
- Thread starter
-
- #14,741
Assumption gani? Mbeya Jiji Ina 470,000 na mbalizi Ina 150,000 hapo Bado wakaazi watakaomegwa kutoka Mbeya DC.We pundamilia kwanini unapenda assumptions kuliko facts.
Yule mwenye wivu na husda kwa kanda ya ziwa aliwalisha matango pori ili migebuka ipate soko, mimi namwambia alipotea njia, haya maji ya ziwa yaliyumika na bibi na mababu zangu mpaka leo bibi ana miaka 89 na sijasikia akilalamika chochote hata tumbo kuuma tu, pili kwanini kansa hiwe kwa wanawake na wengi wanatoka simiyu, Tabora, shinyanga mpaka singida kwani miji hizo nazo zina ziwa victoria?Unaweza tamani kuishi kwenye Kansa na mabanda ya nguruwe kweli?
Kwanini hamjafikia vigezo vya kuwa jiji?Assumption gani? Mbeya Jiji Ina 470,000 na mbalizi Ina 150,000 hapo Bado wakaazi watakaomegwa kutoka Mbeya DC.
Leta data za mbalizi hapa kutok chanzo cha kuaminika.Assumption gani? Mbeya Jiji Ina 470,000 na mbalizi Ina 150,000 hapo Bado wakaazi watakaomegwa kutoka Mbeya DC.
Ingia mwenyewe Mbeya DC,Kwa akili zako ndogo unadhani Mbalizi inapolilia kuwa TC council wanafanya mzaha au?Leta data za mbalizi hapa kutok chanzo cha kuaminika.
Kwa hiyo Mbeya sio Jiji? Umechanganyikiwa au umelewa?Kwanini hamjafikia vigezo vya kuwa jiji?
Pesa ipo ew shoga la kusini,,utahaha sana na assumptions zakoLinashindwa hata kujiuliza huko kwao yamerundikana ila yananuka umaskini Kila pande
Umesema vzr maana suburb ni part of village ni kilimo tuIngia mwenyewe Mbeya DC,Kwa akili zako ndogo unadhani Mbalizi inapolilia kuwa TC council wanafanya mzaha au?
Umewahi fika Mbalizi siku za hivi karibuni? In short pako busy Kwa ujenzi wa magorofa sio mchezo..
Mwisho Mbeya raha sana Ina SubUrbs 4,Mbalizi,Mwanjelwa,CBD-Matola na Uyole..
Jiji la nipeni kura nitangaze mbeya kuw jijiKwa hiyo Mbeya sio Jiji? Umechanganyikiwa au umelewa?
Huto tu centre kama twa mitaa ya huko bukoba, nyinyi bado sanaIngia mwenyewe Mbeya DC,Kwa akili zako ndogo unadhani Mbalizi inapolilia kuwa TC council wanafanya mzaha au?
Umewahi fika Mbalizi siku za hivi karibuni? In short pako busy Kwa ujenzi wa magorofa sio mchezo..
Mwisho Mbeya raha sana Ina SubUrbs 4,Mbalizi,Mwanjelwa,CBD-Matola na Uyole..
Hamna jiji hapo ni ujinga ujinga tu ulifanyika.Kwa hiyo Mbeya sio Jiji? Umechanganyikiwa au umelewa?
Ila Mwanza kwenye mabanda ya nguruwe ndio Kuna Jiji si ndio? ππππHamna jiji hapo ni ujinga ujinga tu ulifanyika.
Endelea kuwa hater hivyo hivyo, slum za mabatini na igogo kwa mbeya ni nyumba kali na nyumba kama za mabatini zinapatikana pale mtaa wa uhindini, otherwise 95% ya makazi ya wanambeya ni nyumba za tope kama zotee.Ila Mwanza kwenye mabanda ya nguruwe ndio Kuna Jiji si ndio? ππππ
Unajua moto wa Jiji sema akili zako zmeliwa na dumuzi hyo mbeya ni manispaa kama kahama tuUnaweza tamani kuishi kwenye Kansa na mabanda ya nguruwe kweli?
We ni mpumbavu square leta fact za maanaIngia mwenyewe Mbeya DC,Kwa akili zako ndogo unadhani Mbalizi inapolilia kuwa TC council wanafanya mzaha au?
Umewahi fika Mbalizi siku za hivi karibuni? In short pako busy Kwa ujenzi wa magorofa sio mchezo..
Mwisho Mbeya raha sana Ina SubUrbs 4,Mbalizi,Mwanjelwa,CBD-Matola na Uyole..
Huwa anajitoa akili japo kuna muda anakaa sawa, utasikia mwanza ni jiji kubwa, mara huko kanda ya ziwa jiji la Mwanza ndio linawabeba, wakati huo ametoka kusema bukoba ndio pazuriππππUnajua moto wa Jiji sema akili zako zmeliwa na dumuzi hyo mbeya ni manispaa kama kahama tu
Akili zake ndani fuse zmeachia hvo znashka Kwa shida sanaHuwa anajitoa akili japo kuna muda anakaa sawa, utasikia mwanza ni jiji kubwa, mara huko kanda ya ziwa jiji la Mwanza ndio linawabeba, wakati huo ametoka kusema bukoba ndio pazuriππππ
Hebu tufanye hiv....kagera sugar isitishe uzalishaji wa sukari kwa mwezi tu uone kama hawataandamana sukari haipoManeno mengi naona unatambia kakiwanda cha chai na pipi, hata mimi naweza kuwa na kiwanda cha pipi alafu hata mama yng anaweza kutengeneza majani ya chai, leta vitu vya kueleweka, Bukoba sio size yenu nyinyi walugalu.
Mwanza ingekuwag Ndo mbeya sjui ungesumbuaje maana ungelinganisha na NAIROBIIla Mwanza kwenye mabanda ya nguruwe ndio Kuna Jiji si ndio? ππππ
Sunk ni comedian sana, ukienda kwenye uzi wa dar vs Nairobe, sunk muda wote anatupia picha za rockcity na kuipamba kwa mapambio yote.Akili zake ndani fuse zmeachia hvo znashka Kwa shida sana