Kahama VS Njombe/Mafinga

Asas,chai bora, Ivory hvyo vitatu vinakutosha
Kwa hivyo viwanda ndo unalinganisha na kagera sugar.....
Hivi unajua kagera sugar ipo top five ya viwanda vikubwa vya sukari Africa Mashariki nzima....

Ok...Bukoba kuna kiwanda cha Yetu chai....kuna viwanda vya maziwa kama kahama fresh kilichopo kwenye ranchi kubwa ya kitengule...
Bukoba kuna viwanda vya chaki kama Victoria chalks
Kuna viwanda vya juice kama Mali Juice..hiv unajua bukoba wanalima nanasi...

Kuna viwanda vya maji kibao kama Asilia, Bunena water, Tanica water, kabaga water, Zahra water nk...


Ok njoo na kingine kuhusu Iringa
.....
 
Nyinyi nyumbu mnaozaliana kama mnaenda kuliwa msifananishe hicho kijiji chenu chenye bandali isyotumika yani mtu asiend bandali ya mwanza aende kwenye uchafu ule🀣🀣🀣🀣🀣🀣 sasa hicho kiwanda cha sukari kimoja tu iringa ni Industry base utafananishaje hiyo ni mbingu na ardhi kama haviwez kufanana bukoba manispaa kongwe ila huwez kuishindanisha na sumbawanga,songea,Moshi,Moro,iringa, kahama tabora na shinyanga singida hiyo level yake ni kigoma maana zmefanana kila kitu na mtwAra na Lindi huko kwngne tutabishana siku ziende ila kamwe haiwez Kuzifkia kwa maendeleo
 
Palipo na idadi ya watu wengi na maendeleo pia usishikwe na wazungu utaamuka kumekucha ebu nitajia nchi Ina watu wachache sana na Iko mbele maendeleo afrika au dunianii

Mm nakupa fact cheki china,check Nigeria,cheki south afrika nk
Yani wew ndo zwazwa aliekwambia wing wa watu ni maendeleo nani yan ukiitwa nyumbu unakuwa nyumbu kwel nenda kaangalie population ya italy imepitwa na Tanzania ila Maendeleo huwez kufananisha kamwe usiishi kwa kukalili kuwa na watu sio maendeleo bali maendeleo yatakuwepo kama hao watu wanajituma sio nyie kanda ya ziwa.mmejazana nyumbu washamba kibao hmn akili hata moja nyie ndo mnaleta njaa mpo weng kama nyumbu kwel🀣🀣🀣🀣🀣🀣siku nyngne usiongee upuuzi wako mbele za watu
 

Attachments

  • inbound6662580335666020067.jpg
    147.4 KB · Views: 9
Na kiwanda cha chai bora ndo kiwanda bora cha chai Tanzania kama ulikuwa hujui na Asas ndo kampuni bora la mwaka 2023 kama ulikuwa hujui nyumbu wew
 
Sasa hvyo viwanda vinauza maji bukoba tu ndo ufanananisha na kiwanda cha dabaga au ivory au chai bora vinavyouza bidhaa nchi nzima duh kwel wew huna akili yani hayo maji hata dar haypo alaf unasema unakiwanda jambo la aibu kuleta viwanda uchwara mbele ya manufacturing Industries vya iringa kwenye viwanda hapo umepotea nyumbu tz hii kila kiwanda kinatafuta soko dar kweny watu weng kisipotoboa soko la dar basi hicho hakitajuliakana sasa nenda supermarket yoyote kaangalie kama hmn bidhaa za ivory dabaga naw chai bora alaf angalia hvyo vijiuchafu vyenu kama vipo pale mliman cty,🀣🀣nyumbu hamjawah kuwa na akili timamu yan unaleta viwanda vinavyojulikna kijijini kwenu huko cc tunaleta kiwanda kinajulikana tz nzima na nje ya nchi kimaa wewe kesho usilete viwanda vyenu vya kuchungiA ng'ombe
 
Ewe ni bwabwa Sasa hapo nchi gan Ina watu wachache au hujui analysisi
 
Ngoja nikutoe ujinga na ushamba,
Majiji na miji dunia yanapimwa kwa population, na sio idadi ya maghorofa wa ujinga wowote ule.
Populaton density ni kipimo cha ukuaji wa uchumi mahali husika, kama hakuna watu basi ujue sehemu hiyo haina fursa na si pakutafuta maisha, watu hawazaliana mahala penye njaa na dhiki bali uongezeka sehemu zenye rutuba na sehemu zenye biashara kubwa na mzunguko mkubwa wa pesa, nyie endeleeni kujitia ujinga.
Wasukuma na wahaya wanazalia kwasababu ni watafutaji na wapambanaji na wana afya bora.
 
Na kiwanda cha chai bora ndo kiwanda bora cha chai Tanzania kama ulikuwa hujui na Asas ndo kampuni bora la mwaka 2023 kama ulikuwa hujui nyumbu wew
Huo ubora kwanini haujawatoa kwenye udumavu na lishe duni pamoja na unyafuzi.
 
Linashindwa hata kujiuliza huko kwao yamerundikana ila yananuka umaskini Kila pande
 
Tuna Kila aina ya Maendelea,mbona husemi hospital? Kagera hakuna hospital ya Mkoa 🀣🀣
 
Maneno mengi naona unatambia kakiwanda cha chai na pipi, hata mimi naweza kuwa na kiwanda cha pipi alafu hata mama yng anaweza kutengeneza majani ya chai, leta vitu vya kueleweka, Bukoba sio size yenu nyinyi walugalu.
 
Sio tuu viwanda unaijua kampuni ya Asas wewe?
 
Hizo halmashari tatu ukijumlisha hazifikii ukubwa wa kata moja tu ya igoma, ukiangalia population na population density.
Ila Zina Tija kubwa kiuchumi kuliko manyumbu mliorundikana huko Mwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mbalizi ikiwemo population itafika 650,000 Kwa mjini ,Hawa ni watu wengi sana.
 
Ila Zina Tija kubwa kiuchumi kuliko manyumbu mliorundikana huko Mwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mbalizi ikiwemo population itafika 650,000 Kwa mjini ,Hawa ni watu wengi sana.
We pundamilia kwanini unapenda assumptions kuliko facts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…