Mussa Montelli
Senior Member
- Jul 18, 2022
- 188
- 81
Bukoba bdo sanaaaa yan kanda ya ziwa kuna miji miwil tu mwanza na shinyanga huko kwingne ni nyumbu tu zimejaa mnazaliana kama mnaenda kuliwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hamna facts iringa Kwa lipi Sasa suala la stand ni mpango mkakati at Arusha Haina stand lakin Moro Ina standa,,pia bariad Ina stand,kahama inajengwa,hivo sio inshu sana maana Toka miaka hyo hatukuwazaga stand but hayat Ndo kaleta mambo kama hayo
Yanalala stend ipi ile yenye matope mvua ikinyeshaNa sehemu kama iringa,singida na Moro ndo Unaona stand finyu TU maana hakuna magari yanalala labda kidogo Moro stand magar yanalala ila singida na iringa ni njia ya kupita TU Sasa fika bukoba magari ya Kampala to mwanza,,
Haya magari yanalala sasa faida yake nn maana mpo nyuma kimaendeleo watu wanasubl ndege ianguke wakapate rizki maisha magumu mzunguko wa hela mgumu ukishindwa kuvua basi upati kz bukobaNa sehemu kama iringa,singida na Moro ndo Unaona stand finyu TU maana hakuna magari yanalala labda kidogo Moro stand magar yanalala ila singida na iringa ni njia ya kupita TU Sasa fika bukoba magari ya Kampala to mwanza,,
Kiwanda gan iringa kikubwa kitaifa kupita vya kagera sugar, na vya samaki BUKOBA? chai na kahawa?Chuo gan cha udsm kaka🤣🤣🤣🤣🤣 usipende kupitiliza kama hvyo vtu vyote vipo vzr bukoba isingekuwa vile ilivyo hata mapato hmn sasa hvyo viwanda vina kazi gan na.kwenye swala la viwanda bukoba haina viwanda vikubwa kuliko iringa bukoba ina processing industry iringa kuna manufacturing industry ukikutana na mtu mwenye akili timamu na aliefka miji hii muulize alaf utapata jibu pole sana kaka
Chuo gan cha udsm kaka🤣🤣🤣🤣🤣 usipende kupitiliza kama hvyo vtu vyote vipo vzr bukoba isingekuwa vile ilivyo hata mapato hmn sasa hvyo viwanda vina kazi gan na.kwenye swala la viwanda bukoba haina viwanda vikubwa kuliko iringa bukoba ina processing industry iringa kuna manufacturing industry ukikutana na mtu mwenye akili timamu na aliefka miji hii muulize alaf utapata jibu pole sana kaka
Asas,chai bora, Ivory hvyo vitatu vinakutoshaKiwanda gan iringa kikubwa kitaifa kupita vya kagera sugar, na vya samaki BUKOBA? chai na kahawa?
Ndo ujue wew ni nyumbu hapo wamesema kujengwa na sio kipo wanasiasa wakiongea kitu usiwaamn mbk watekeleze ndo uwaamn
Wamekamilisha chuo kipo acha kudanganywa na wanasiasa hizo porojo tu ndo ujue bukoba bdo mnapanga kujenga chuo leo wkt iringa vyuo vikuu vyenye hadhi vipo 3 na vyuo vya kati zaid 5 utafanamishaje kaka acha kupenda kupitilizaEneo lipo tayr na wapo site usibishe TU pia Hilo lilikuepo kitambo sana hatimaye wamekamilisha Sasa nakuuliza unaijua BUKOBA au unaskia utani na kuamini eeeh
Ivory ni viwanda vya kusema kaka? Mbona hakina kabisa impact kubwa yoyote maana hata lakairo yule mjaruo mwanza anazalisha pipi karibu zote 🤣🤣,,Asas,chai bora, Ivory hvyo vitatu vinakutosha
Nakupa picha za site kesho mapema pia vyuo vya kat kibao yaan Kanda ya ziwa hatna chuo Cha uma tuWamekamilisha chuo kipo acha kudanganywa na wanasiasa hizo porojo tu ndo ujue bukoba bdo mnapanga kujenga chuo leo wkt iringa vyuo vikuu vyenye hadhi vipo 3 na vyuo vya kati zaid 5 utafanamishaje kaka acha kupenda kupitiliza
Lete picha tuchekeNakupa picha za site kesho mapema pia vyuo vya kat kibao yaan Kanda ya ziwa hatna chuo Cha uma tu
Lete picha tucNakupa picha za site kesho mapema pia vyuo vya kat kibao yaan Kanda ya ziwa hatna chuo Cha uma tu
Kama bandali ingekuwa na impact basi bukoba isingekuwa vile hvyp vyote vipo ila bukoba bdo ipo chini kimaendeleoIvory ni viwanda vya kusema kaka? Mbona hakina kabisa impact kubwa yoyote maana hata lakairo yule mjaruo mwanza anazalisha pipi karibu zote 🤣🤣,,
BUKOBA viwanda vikubwa kabisa ni vya samaki,,,kagera sugar,,chai,kahawa,,Ina Bandari kubwa ukitoa ya mwanza bas inafatia ya BUKOBA Kwa upande wa maziwa makuu inapokea meli Uganda kuchukua mizigo pia meli kubwa za mwanza zinatia nanga BUKOBA na kwenda Kenya na Uganda
Kucheka haitakusaidia Wala kubadilisha ila BUKOBA ni next levalLete picha tucheke
Imebidi nikuignore tu...hauna point ya mashiko...Haya magari yanalala sasa faida yake nn maana mpo nyuma kimaendeleo watu wanasubl ndege ianguke wakapate rizki maisha magumu mzunguko wa hela mgumu ukishindwa kuvua basi upati kz bukoba
Ikoje hebu sema maendeleo Haina BUKOBA?na unataka yawepoLete picha tuc
Kama bandali ingekuwa na impact basi bukoba isingekuwa vile hvyp vyote vipo ila bukoba bdo ipo chini kimaendeleo
Je hyo stand inalingana na ya mbeya tope? Au umekunywa faru johnYanalala stend ipi ile yenye matope mvua ikinyesha
Palipo na idadi ya watu wengi na maendeleo pia usishikwe na wazungu utaamuka kumekucha ebu nitajia nchi Ina watu wachache sana na Iko mbele maendeleo afrika au dunianiiBukoba bdo sanaaaa yan kanda ya ziwa kuna miji miwil tu mwanza na shinyanga huko kwingne ni nyumbu tu zimejaa mnazaliana kama mnaenda kuliwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo bandari haina impact? Kwa nini nisikuite mpumbavu....Lete picha tuc
Kama bandali ingekuwa na impact basi bukoba isingekuwa vile hvyp vyote vipo ila bukoba bdo ipo chini kimaendeleo
Watu wa kusini mmejengewa stendi basi ndo mnaona maendeleoooYanalala stend ipi ile yenye matope mvua ikinyesha