Kahama VS Njombe/Mafinga

Nyie pimbi,mbilikimo,mashoga wa kusini tunawacha maana Kuna vitu hatuwez at kupost kubishana na nyie mbwa sema inatulazimu Sasa imagine mtu anapost kivuko wakat anjua anabishana na lake zone jina TU linaeleweka halafu anapost kivuko hakuna at abiria Wal gar kimekaa like white elephant in the big forest
 
Wazee wa masifa hiyo ni sub town km 26 kutoka makambako tc mzee sio sawa na mtaa wa bukoba wenye km za mraba 106
Eti subtown...kwa hiyo subtown ndo ijengwe hovyo kama slums...

Hata bukoba ina subtowns nyingi mfano 21km from Bukoba kuna mji wa kemondo wenye bandari ya tatu kwa ukubwa kanda ya ziwa baada ya Mwanza na Bukoba ports...ni moja ya bandari kubwa ya mizigo Tz....meli zote zikitoka Mwanza hupita hapo kabla ya kwenda Bukoba....


Ndo maana ninasema watu wengi you nothing about Bukoba nk....


Unafikiri km za mraba nyingi ndo zinafanya mji uwe mji....mji wa moshi una sqkm 59 tu lakin ni mji unaonekana mji kuliko hizo slums zenu za huko kusini
 
Kaka Hawa watu wa kusini kinachowasumbua ni chuki zao binafs zidi ya lake zone na hyo haitunuimi maendeleo tenda Kila siku znatekelezwa mambo mazito yanafanyika lake zone pamoja na fursa hivo usikomae na wapuuzi hawajishughulishi
 
Hivyo vitu unavyovitaja sijui vyuo..viwanda nk...vyote bukoba vipo na vingine vinajengwa...
Bukoba haina vyuo vikuu vya umma lakin ina vyuo kibao vya kati yaan colleges, shule kibao tena zile kubwa kubwa, bukoba ina viwanda vikubwa vinne vya maji, kuna viwanda viwili vikubwa vya samaki, bukoba sio mbali na kagera sugar moja ya kiwanda kikubwa cha sukari nchini, bukoba kuna viwanda vikubwa sana vya kahawa hope ushawahi sikia Tanica...Bukoba kuna hadi viwanda vya chai nk...

Bukoba kuna bandari kubwa mbili tena zinafanya kazi na zinapanuliwa zikisubiri meli kubwa ya mv mwanza...

Bukoba mji mzima umeunganishwa na lami...na sasa wanahamia vijiji....



So nothing big kiko iringa Bukoba hakipo...tena bora bukoba ina big ports na Airport.....

Iringa ni vyuo na ya maghorofa matano ya hotel pale mjini...ambayo yako empty....
 
Iringa ina viwanda vingi sana mkuu.kuanzia maji,pipi,maziwa,berages,chai,etc.
 
Iringa ina viwanda vingi sana mkuu.kuanzia maji,pipi,maziwa,berages,chai,etc.
Post kiwanda Cha chai Sasa unasema pipi kiwanda Cha pipi nacho unasema mkuu? Ila kidogo ew unabisha kiungwana kuliko hyo shoga sunk
 
Iringa ina viwanda vingi sana mkuu.kuanzia maji,pipi,maziwa,berages,chai,etc.
Sasa Bukoba ndo hakuna viwanda?na kama vingekuwa ns msaada mkubwa kwa wananchi basi watu wa pwani wangekuwa matajiri nchi...kuna kitu kinahitajika kwenye mji uli uwe mji sio kurundika viwanda tu..m

Bukoba kuna viwanda vya kahawa, chai, maji,vanilla, kusindika samaki, juice, Sukari etc...

Bado natafuta kitu cha kuifanya Iringa special ukiondoa vyuo...ambavyo navyo wanakuja kusoma tu watu wa kagera...nyinyi mnabaki mama ntilie tu na kupangisha vyumba....kama vyuo vingekuwa na advantage kiasi hicho basi Morogoro ilipaswa iwe jiji kitambo....kwanza UDSM wanajenga kampasi yao huko Bukoba....

Bukoba ina facilities muhimu kama Bandari kubwa, Big airport yenye flights za kueleweka, Good standard Stadium...Good schools bila kusahau barabara nzr na makazi bora hadi vijijini ...
Iringa ina facilities zipi zaidi ya maghorofa empty pale mjini kati
 
Nimecheka eti Sukuma gang watavimba piruu 🤣🤣🤣🤣

Punguzeni ushamba

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…