Kahama VS Njombe/Mafinga

Bukoba ukitoa hilo kanisa na ziwa hmn kingne cha maana cha kuwaonyesha watu na kwa wale wasiojua kijiji cha mashamba ndo hicho na hapo ndo mjini na magorofa mlioambiwa ndo hayo
 
Alaf kuna nyumbu moja anatuletea kijiji cha bukoba matope pale mjini eneo moja la kupigia picha kanisani tu hiyo ni sehem tu ya iringa city welcome home of intellectual sio kutuletea dada zenu watukatikie kwa jero🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 

Attachments

  • inbound6153173298351592738.jpg
    60.5 KB · Views: 12
Haka kamji kenye barabara moja na slums kibao...


Bukoba kolping hotel....
 
Mbeya Kuna international school moja tu ambapo at kahama Kuna moja
Unaonekana umepauka kama hizi Barabara zako..

Hiyo sio simu ni kitochi unatia aibu 😁😁
 

Attachments

  • Screenshot_20230325-171450~2.jpg
    30.8 KB · Views: 11
Sasa haya kwetu mejengo ya hostel za wanafunzi tosa boys na iringa girls
Zilete tuone maana....Bukoba kwa shule ndo penyew....

Tatizo lako unapenda kubishana kwa kejeli na matusi na sio hoja zenye facts

Isijekuwa nabishana na teeneger hapa......
 
Bukoba inafnya vzr kielimu ila mkoa wa kagera haupo vzr kielimu
 
Shule 10 Za gharama Tanzania kanda ya nyumbu hawana shule ya hadhi kama hizi
Aibu kwako ukiongelea international school mwanza zipo tena hadhi ya juu pia Kahama ipo moja kitu ambacho mbeya ipo ila haifany Kaz imebak jina TU samaritan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…