ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,247
- Thread starter
-
- #14,421
Povu na makasiriko ni vya nini?😁😁😁😁Huyu anaeisema bukoba vibaya ni mpumbavu na hajui alifanyalo kinachoiharibia bukoba ni vitu viwili ni stand pamoja na soko tu lkn bukoba ipo vzur mnoo Wana taasisi nyingi kama mashule,makanisa na mahoteli pia Wana barabara za lami nzuri mnoo had vijijini Wana kanisa zuri la catholic kuliko lolote Tz ila likiisha la mwanza kawekamo ndo inafuatia pale bukoba manispaa tu wanashule za advance kama 7 ihungo,nyakato,kahororo,rugambwa,bukoba sec,omumwani na private nyingi sana nilikuwepo juzi bukoba sasa hv Wana had magorofa 8 kama 5 ndo uje ulinganishe na ujinga wa njombe pia bukoba Wana uwanja mzur wa mpira kaitaba
Povu na makasiriko ni vya nini?😁😁😁😁
Nzuri mno kulinganisha na wapi? Hivyo unavyovitaja hata Manyumbu vipo so sio big deal .
Njombe tuna Chuo Kikuu kabisa huko kwenye Advance schools tulishavuka zamani sana.Nitajie advance hata 3 zilizopo njombe mjini
Chuo kikuu kipi Kwan bukoba hawana vyuo vikuu?Njombe tuna Chuo Kikuu kabisa huko kwenye Advance schools tulishavuka zamani sana.
😁😁😁Chuo kikuu kipi Kwan bukoba hawana vyuo vikuu?
😃😃😃 Vyuo vya uswahilini hvy ndo unasema mna chuo kikuu
Ukiacha hicho Kuna OUT Njombe Centre..😃😃😃 Vyuo vya uswahilini hvy ndo unasema mna chuo kikuu
Bukoba Kuna Saut,tumaini,out ma vyuo mengi tuUkiacha hicho Kuna OUT Njombe Centre..
Endelea kujifariji,tulishawachapa kitambo umebakia kujifariji tuu.
Hyo mirad yote ya nyanda za juu kusini bado haifui dafu Kwa jpm bridge gharama yake 😃Hii Barabara inaenda kuifungua zaidi Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini hasa Mbeya 👇
Uwe na akili basi,Kwa hiyo kadaraja ka km Moja kana impacts sawa na Barabara ya km 300 si ndio?Hyo mirad yote ya nyanda za juu kusini bado haifui dafu Kwa jpm bridge gharama yake 😃
Yako Vijijini huko sio MjiniBukoba Kuna Saut,tumaini,out ma vyuo mengi tu
Wew unaona hospital hapo?Mzee St. Bakita ipo Hadi Namanyere,hii ni hospital ya Kanisa nataka hospital ya Mkoa ya Serikali.
So acha Ujinga leta hospital ya Mkoa ya Serikali.
St.Bakita Namanyere Rukwa Kuna Hospital na Chuo.View attachment 2564614View attachment 2564615View attachment 2564616
Hospital ya mkoa imekuweko toka uhuru...nyie mmejengewa juzi kelele kibao...sidhani kama zina hata CT scan au Xrays mashines...Mzee St. Bakita ipo Hadi Namanyere,hii ni hospital ya Kanisa nataka hospital ya Mkoa ya Serikali.
So acha Ujinga leta hospital ya Mkoa ya Serikali.
St.Bakita Namanyere Rukwa Kuna Hospital na Chuo.View attachment 2564614View attachment 2564615View attachment 2564616
Hauon impact subiri upakatwe ndo utaona impactUwe na akili basi,Kwa hiyo kadaraja ka km Moja kana impacts sawa na Barabara ya km 300 si ndio?
Nona madarasa Kuna majengo ya Hospital hapo?Hospital ya mkoa imekuweko toka uhuru...nyie mmejengewa juzi kelele kibao...sidhani kama zina hata CT scan au Xrays mashines...
Hii hospital ina facilities zote za kuwa hospital japo ni kongwe mno
View attachment 2564655
Mbona sikuiona kule jukwaa la Kunyaland wakati tuna post shule?Wew unaona hospital hapo?
Hio ni shule ya msingi jaffery...View attachment 2564653View attachment 2564654