Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwanza wamepanua manispaa ya Bukoba.....kutoka SQKM 101 sijui zitafika ngap...wanaongeza kata tisa za halmashauri ya wilaya ya Bukoba vijijini kwenye manispaa.

Jambo la aibu yani manispaa ina KM 101 🤣🤣🤣🤣🤣 sawaa na makambako na mafinga kwel bukoka ina mengi ya kujifunza kwa njombe
 
Tunaendelea kuwasaidia maisha

View attachment 2563133
Mv Victoria safari zake kati ya Miji ya Bukoba na Mwanza....inabeba abiria kati ya 800 hadi 1200 kila siku between mwanza and BK....wakipungua sana 500...bila kusahau kuna mabus kibao kati ya mwanza na Bukoba

Mabus yote yanayoingia Mbeya yanabeba watu wangap?
maana unapenda kupost mabus...

Hata magari yanasafirishwa na meli hii...na bado mv mwanza inakuja
 
Naam...
Ila hapo 101 , The Magic ...ni pakishua sana. Kahama ni Wilaya ila ina hadhi ya kuwa mkoa...
Nchi hii kupata mkoa mpaka uwe na kiongozi mkubwa anaetokea eneo hilo ndo atie mkazo.kahama hawana ndo maana hawaifikilii,ila ina diserv kabisa kua mkoa,watu milion na ushee,halmashauli 3,ina mapato ya kujiendesha,eneo inajitosheleza.
 
Kaka amka usingzin yani kahama iwe na wati milion wametoka wapi acha uongo
 
Kaka amka usingzin yani kahama iwe na wati milion wametoka wapi acha uo
Kaka amka usingzin yani kahama iwe na wati milion wametoka wapi acha uongo
Nchi hii kupata mkoa mpaka uwe na kiongozi mkubwa anaetokea eneo hilo ndo atie mkazo.kahama hawana ndo maana hawaifikilii,ila ina diserv kabisa kua mkoa,watu milion na ushee,halmashauli 3,ina mapato ya kujiendesha,eneo inajitosheleza.
Kinondon ina watu milion 1.7 haya ntajie mkuu wa mkoa wa kinondon aliekwambia nan mkiwa na watu weng ndo mkoa nani
 
Jambo la aibu yani manispaa ina KM 101
sawaa na makambako na mafinga kwel bukoka ina mengi ya kujifunza kwa njombe
Eti aibu
wew ndo mshamba mkubwa....mnaweza mkawa na eneo kubwa na vijiji tu...hawa wameona Bukoba imejaa wakaona wamege kata 9 kutoka bukoba vijijini....

Kwani nyie miji yenu ina sqkm ngap...maana unaongea as if sqm 100 ni ndogo kwa municipality....itakuwa huelewi unabisha nini...

Maana manispaa zenye sqkm zaidi ya 100 ni chache Tz...manispaa kama ya moshi ina 58sqkm tu...

Hio njombe mji kama haina sqkm 32 sijui...labda uje na data zako
 
Nimewahi kuwa kote, Kahama ni the best… Njombe na mafinga watu bado local sana na mchanganyiko wa watu bado sana.

Kahama inakua kila kukicha, hata pato lake lake ni kubwa.

Nafikiri sio sahihi kufananisha Kahama (Manispaa) na Wilaya ya Njombe au Mafinga. Bora uifananishe na Musoma, Tunduma au Mpanda.
 
Achana na kijiji cha moshi hicho iringa manispaa ina km 300 na bdo wanaongeza maeneo ya utawala
 
Jambo la aibu yani manispaa ina KM 101
sawaa na makambako na mafinga kwel bukoka ina mengi ya kujifunza kwa njombe
Yale yale niliyokuwa nasema
...mnaweza kuwa na kata nyingi ila ni vijiji imagine NJOMBE MJINI kata tatu TU ndo mjini nyingine 10 ni vijiji
..

Halafu acha kulinganisha Bukoba na vimji vya ajabu vya kusini...

Njombe sasa
 
Achana na kijiji cha moshi hicho iringa manispaa ina km 300 na bdo wanaongeza maeneo ya utawala
Leta uthibitisho maana inaonekana hujui unachoandika....

Tena hapa Tz hakuna kamanispaa kadogo kama Iringa...hata kama wameamua kuongeza vijiji lakin sehemu iliyojengeka iringa ni ndogo sana....tena bora moshi ni kubwa....

Manispaa zenye maeneo makubwa ni Morogoro, Tabora, kigoma na Bukoba itaungana nazo baada ya kupanuliwa mwaka huu nk nk
 
Bukoba ndogo kieneo na kujengeka ndo zero kabisa watu wengi huwa wanasema iringa manispaa ni ndogo lkn kwenye listi ya miji mikbwa tz ukitoa majiji 6 znazofata ni manispaa ya moro,moshi na iringa sasa iringa kama ndogo imezzid manispaa za tabora singida shinyanga
 
Kaka amka usingzin yani kahama iwe na wati milion wametoka wapi acha uongo
Mkoa wa shinyanga una watu 2,241,299. Sensa ya 2022,kwa walio tembea mkoa mzima wa shy wana jua watu weng wako wap.na ukisema wilaya ya kahama manaake ni kahama manispaa,ushetu na msalala,watu milioni wana fika na kuzid.dar na wilaya zake hupaswi kuzikompare na wilaya za mikoani.
 
Leta takwimu...sitaki mtu anayesema anaskia watu wanasema....wew hizo ranking umezitoa wap

Henu jiamini toa hoja zinazoeleweka na proofs....

Baraza la madiwani, Meya, Mkurugenzi wote wa manispaa ya Bukoba wanatoa report kuwa mji wa bukoba umejaa na umebana so wanaongeza kata tisa.ndani ya municipality wew eti unaskia sijui bla bla....

Hapa ni JF...hatuko kiutoto utoto hapa...toa hoja with proofs...
 
Kawadanganye wasukuma nyumbu fatilia takwimu ndo uje useme tena kuhusu kahama
 
Bukoba ndo wanatanua leo iringa hiyo mipango ilipangwa tangu,2018
 
Takwimu za miaka 10 iliyopita
Basi ni wazembe...website yao hawaiupdate....lakin hata ongezeko la watu ni dogo mno hapo njombe imagine 0.8 growth....ndo hizo kata nyingine zijae?

Hio njombe bado sana...ndo maana hata serikali inasita sita kuipa hadhi ya manispaa...kuna a lot to do.....

Usidhani kujenga stendi ni vibarabara vitano ndo mji ni mji sasa...kuna miji kama Arusha au hata Kisumu haina hizo facilities lakin ni miji na inaonekana ni mji...

Mji kama Bukoba umekuweko toka 1890...ni mji uliopangwa...hata ukienda Bukoba unaona CBD iko wap ingawa barabara zake nyingi zimezeeka...kwa sababu ni mji mkongwe....ni mji ambao ukiweka facilities muhimu unapendeza mno...kuliko miji hii mipya inayojengeka kwa mtindo wa slums na fremu....
 
Bukoba ndo wanatanua leo iringa hiyo mipango ilipangwa tangu,2018
Angalia hio video vzr...mipango ilikuweko toka 2011 huko......

Acha kudharau miji ya zamani...serikali sio wajinga kuipa hadhi ya manispaa Bukoba 1998 huko...na halmashauri ya mji kabla ya uhuru...

Bukoba ni mji ulioshajengwa zamani...sema ulikuja kudelay kwa sababu ya kukwama na ubishani wa wanasiasa wabinafsi miaka ya 2010-2012....but ni mji unaofufuliwa upya...ndo maana unaona barabara zote za mji huu zinafumuliwa, stend inajengwa, bandari zake zinapanuliwa, na taa zinarejeshwa....
 
Kwa hilo naunga mkono hoja umeo gear point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…