Kahama VS Njombe/Mafinga

Bwege wewe,kina kitefu ndiko wanakua wakubwa..

Harafu usikariri hiyo ni specie ya tilapia tuu
Ubongo wako mgando kama ulivo ufupi wapi nakwambia ziwa Tanganyika Lina kina kirefu sana kuliko maziwa yote tz na samaki wanaopstikana humo ni migebuka halafu ew upo kusin matakoni mwa nchi mm mwanza to kigoma masaa matatu nishafika
 
Mbeya na Mwanza ni bampa to bampa kwenye uwekezaji πŸ‘‡


Nyanda za Juu tumewakilishwa na Mikoa 2,Ruvuma inakuja Kwa Kasi sana.
 
Kwenye Idadi ya Miradi huna uwezo wa kutaja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]..hivyo vikampuni viwili vya maparachichi na mpunga visikutie kiwewe

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2563026
GDP inapima idadi au thamani? 😁😁😁 Ndio unavyojifariji baada ya kulambishwa lolo na Ruvuma πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Tupe wa bukoba mc wapo wangap
Kwanza wamepanua manispaa ya Bukoba.....kutoka SQKM 101 sijui zitafika ngap...wanaongeza kata tisa za halmashauri ya wilaya ya Bukoba vijijini kwenye manispaa.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…