Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwahyo Hela ulotaja sahau mwekezaji kuwekeza labda umekurupuka maana hamtumii akili mnamia kamas kuwaza akili zenu fupi πŸ˜‚πŸ˜‚
Mradi unatekelezwa kwa phases,Kuna Mgodi wa umeme megawatt 600,Kuna Mgodi wa makaa ya mawe,Kuna Mgodi wa chuma,Kuna kiwanda Cha bidhaa za chuma.

Watu mna vichwa kama ugali mtapata wapi akili? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Zamani nilikuwa nadhani Halmashauri ya Tarime,Kahama,Geita Zina mapato mengi sana Kwa Ajili ya shughuli za watu kumbe ni CSR za migodi..

Mtaani hali ni mbaya
 
Hadithi njoo uongo njoo utamu kolea.
 
Mradi unatekelezwa kwa phases,Kuna Mgodi wa umeme megawatt 600,Kuna Mgodi wa makaa ya mawe,Kuna Mgodi wa chuma,Kuna kiwanda Cha bidhaa za chuma.

Watu mna vichwa kama ugali mtapata wapi akili? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Lakin tajir Hela anayo,mbwa ewe Mirad uliyotaja ikifanyika mtanufaikaje Sasa maana naona Haina manufaa kwenu na tunaweka hko malambo ya umeme Kwa sababu ni porin Ili tupate umeme
 
Wanapita kimya kimya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mbeya City with 620,000 population
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…