Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

L
Njombe sio sawa na hivyo Vijiji vyenu kwamba inaweza ishiwa .

Huku tuna pesa ,sio Mkoa wa maskini 😁😁

Soma hiyooo 👇View attachment 2550968View attachment 2550970View attachment 2550971View attachment 2550973View attachment 2550975View attachment 2550976
Leta mijengo mipya hayo magofu sisi huku mengi sana tunafugia nguruwe na kutunzia nyavu cheki hili jengo pimbi hii sio hoteli ni godauni
Screenshot_20230311-234701~2.jpg
 
Kahama hapa Tanzania inajulikana Kila uchochoro lakin jombe huku hata wengine hawaijui na ukiwambia mkoa wanashtka maana Haina maajabu yoyote ipo TU imezubaa kama white elephant at mid forest
 
Kweli ukifika kahama unahisi upo mwanza au dar Kuna Kila Raha na starehe na pamechangamka kuliko mbeya
 
Ukiwa MBEYA ikifika saa tatu na nusu usiku hakuna raia Wala gari wanabak vibaka TU na pamepoa kweli akuna at band watu wanaenda city hotel kidogo kunauafadhal yaan mji ule mbovu kweli
 
Back
Top Bottom