ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,308
- 88,340
- Thread starter
-
- #13,901
Hiyo ni Mwanza ya mtaa gani?Njoo ujioneee NERA PARKING
Mwza mpya hiiLeta Mwanza Mpya ya huko milimani ππππ
Mitaa ipo wapi? Huwa mnapita wapi mlienda makwenu?
Tena nyuma ya BUGANDO ndo kuzuri kinoma kama ukifika miaka ya tisini pole sana kama unataka ligi ya mwanza na Kijiji chenu Cha mbeya semaMitaa ipo wapi? Huwa mnapita wapi mlienda makwenu?
Narudia hapa umetafuta penye nafuu , kwingine kote kumejaa uchafu,hapo nyuma ya bugando tuu ni mauchafu ya kufa mtu.
Huo ni uchafu kabisa yaan mbeya yote haiwezi kulingana na manispaa ya ilemelaMbeya City π₯π₯
Huoni aibu kupost huo uchafu kutoka kusiniMbeya City π₯π₯
Magari mm nikiamua kupost nitajaz humu kumbka ew pimbi mwanza inapokea magar yote kutoka afrika mashariki na mikoa yote tzNew baby born in da City
Mngekuwa na hoteli kama hizo mbeya mngelinga sana