Kahama VS Njombe/Mafinga

Kama Hilo gulio ndio Jiji Lenu basi nyie ni certified idiots 😁😁
Jiji la kahama unalinganisha na Iringa mji, unachekesha sana, karibu kahama kwenye utalii wa starehe na walimbwende wa kila ainaπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ hii kahama siiachi ata iweje.
 
Tatizo Hawa pimbi wa kusini hawajafiksha na hawana nyenzo au vitega uchumi kuishawishi serikali iwaone mbwa Hawa
Sasa wanadanganyiwa njia nne wanaona ndio itawatoa kwenye ujinga na umaskini na kuwaondolea makazi duni.
 
Hilo daraja linathamani sawa n miradi yote ya kusini.
Hapana linazidi miradi Yao yote kusini maana hawana mradi wa Hela nyingi hao pimbi serikali inawapa Barabara kilometer 7, kuwapoza na uzuri hao pimbi hawajui wanaona wamependelewa wanashangilia haswa serikali inaju aaah kumbe haw pimbi wamerizik inakuja kwetu wabishi tunataka miradi babu kubwa tu
 
Serikali imefanya jambo zuri kuwakumbuka, ili nasisi tuwe tunasafirisha mazao yetu kutoka mashambani mbeya na kuleta mizigo mjini Mwanza bila usumbufu.
 
Sasa wanadanganyiwa njia nne wanaona ndio itawatoa kwenye ujinga na umaskini na kuwaondolea makazi duni.
Wanasahau kuwa mwanza Kuna njia nne, tatu na tano panapohitajika pia juzi wametoa ramani ya BRT hivo lake zone inogile kabisa
 
Kama wanautapiamlo wanakimbiza wangekuwa hawana ingekuaje? Kuwa na nywele nyingi sio kuwa na akili nyingi..

Kanda ya Ziwa inongoza Kwa Kansa,pale ocean Road mumejaa
Wanakimbiza Nini mwenge au maana hamna wanakimbiza wanatuharibia CV ya nchi wageni wanashangaa sana maana nyie wengi mnaugonjwa wa ngiri
 
Acheni ushamba nyie mabwege
 
Acheni ushamba nyie mabwege
Kila siku mnaliwa na mamba et mnachot maji Si Bora mpigwe rad mfe tugeuze mashamba ukanda wenu hamna mnafany mnatia hasara taifa linaonekan kubwa kumbe kna watu hawana vyanzo vya mapato kujikwamua kimaendeleo pimbi nyie
 
Kila siku mnaliwa na mamba et mnachot maji Si Bora mpigwe rad mfe tugeuze mashamba ukanda wenu hamna mnafany mnatia hasara taifa linaonekan kubwa kumbe kna watu hawana vyanzo vya mapato kujikwamua kimaendeleo pimbi nyie
Nilishawahi kusema hapa hiyo mbeya ingefaa kuwa sehemu ya kilimo cha mpunga na viazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…