Kahama VS Njombe/Mafinga

Kanda inayoongoza kuwa na washamba weng tz ni kanda ya ziwa kwa wasukuma
Haijalishi lakin still tunaongoza Kwa Kila kitu maana kungekuwa na watu wa mbeya kimaendeleo lake zone ningekubali lakin still ni sisi tunapiga Jiji linapepea,, njoo miji midogo ambayo sio wilaya lakin njombe hafikii njoo KATORO, RUNZEWE,USHIROMBO, MASUMBWE,
 
Hvyo viuchafu usifananishe na njombe fananisha na makete au ludewa
 
We made ni kenge hizo ni ghorofa za mwanza au at kusoma hujui hyo kahama usizan sisi tunaokoteza kama nyie sisi tunatmia Zaid kahama kushindanisha na kusini yote na imewakalisha lakin ukitak at shinyanga yote inaizidi ad mbeya
 
Baada ya kubanwa mbavu na mkoa wa njombe hadi unathubutu kusema gorofa hili lipo shinyanga wakati lipo mwanza Nyerere road yan ww bado sana
Kama bil hayat kujenga hiyo hospital ya ghorofa na hiyo lift yenu ya mwaka 2014 mngeficha wap sura maana now mnaona mmeupiga mwingi kumbe ushamba tembeeni majiji muone
 
Huna lolote ww unaenda kuokoteza gorofa za mwanza na dar et zpo shinyanga we ni wakuupuuzwa tu ligi hii huiwezi njombe ni next level endelea kuvuja kamasi dereva wa ngombe
 
Basi kanda ya ziwa yote ni majiji ili nafsi yako iendelee kujidangnya
Ndio hakuna wilaya Kanda ya ziwa ambayo sio manispaa now tena Jiji la mwanza limepata manispaa ya tatu USAGARA, Sasa utalinganisha na uchafu wa kusini Kwa wacheza ngoma za mwali
 
Huna lolote ww unaenda kuokoteza gorofa za mwanza na dar et zpo shinyanga we ni wakuupuuzwa tu ligi hii huiwezi njombe ni next level endelea kuvuja kamasi dereva wa ngombe
Utajifariji kwenye hamna ukweli kusini yote inakaa chini inavua kofia Kwa mji wa kahama TU Kila kitu kipo wazi
 
Uwaz gan mzee wakati mmekalishwa mkoa mzima wa shinyanga Na mkoa wa njombe wenye miaka kumi tu
 
Nani kapost mipa hoteli Sasa na Kam imepostiwa ni bahat mbaya but kahama Ina vitu na hoteli kubwa sana akina mond,alkiba,na wengine huja kpiga show kwann isiwe njombe?
Mipa hotel HiYo ipo mwanza
 
Uwaz gan mzee wakati mmekalishwa mkoa mzima wa shinyanga Na mkoa wa njombe wenye miaka kumi tu
Usifananishe njombe yenye miaka 10 ya kuwa mkoa na mkoa wenyew miaka 50 ila bdo wananchi wako maskin mbk leo ni jambo la aibu
 
Pengine hujui at maana ya CBD 😂 Maana kama unajua usingesema utumbo Kwa sababu Kila wilaya adi vijiji vina CBD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…