Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama ikifka level hzi basi tutapata shida tafuta miji mikubwa tanzania

1 Dar 2 Mwanza 3 Arusha 4 Mbeya 5 Dodoma 6 Tanga 7 Moro 8 Iringa 9 moshi
Mbeya ishapitwa na dodoma now mbeya ni ya tano nazan itafutwa kwenye list ya majiji soon
 
Kahama kuna hotel gani hapo boss? πŸ˜‚πŸ™†β€β™€οΈ
We vipi unadhani mondi huwaga anakuja kahama analala wapi ???au hujiulizi kwa nini wasafi na huyo mondi mwenyewe wanapenda kuja kahama wanaangalia vitu vingi..Ikiwemo sehem za kufikia..Haya niambie ni lini mondi ashakuja huko iringa au njombe naye anaangalia na sehem za kulala ...Huwezi ukamlza mti kama mondi huko njombe
 
Hawajielew Hawa pimbi wa kusini
 
Hii kahama hotel at least,, zingine hapo ni lodge tu za ghorofa,,
Ni kama kwa mwanza xmas tree, wande, shinyanga gesti uite hotel,, sababu ni ghorofa mbili au tatu,, wakati reality hizo ni Lodge
 
Hii kahama hotel at least,, zingine hapo ni lodge tu za ghorofa,,
Ni kama kwa mwanza xmas tree, wande, shinyanga gesti uite hotel,, sababu ni ghorofa mbili au tatu,, wakati reality hizo ni Lodge
Hoteli za mwanza unazijua boss?
 
Hii kahama hotel at least,, zingine hapo ni lodge tu za ghorofa,,
Ni kama kwa mwanza xmas tree, wande, shinyanga gesti uite hotel,, sababu ni ghorofa mbili au tatu,, wakati reality hizo ni Lodge
Kwan Ili iitwe hoteli kumbe lazima ghorofa? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kweli ufupi hasara kabisa unapost magar yapitayo let maendeleo ya miradi na mijengo pimbi nyieView attachment 2545349
We ndo jinga mbona unafichamia mwanza mzee Leo tupo mkoa wa njombe na shinyanga njombe again Yana tuliaha wambia mkoa wa njombe kimaendeleo upo juu check unavowatoa mapovu watu wa mkoa wa shinyanga hadi huruma wameanza kutapatapa mara picha za mwanza mara dar njombe imewanyooasha muwe na adabu siku nyingine
 
Tuna bandari kavu Ya isaka inayotegemewa na nchi jirani za burundi na kongo kwa uchumi wao.
Usilete hadithi hapa leta vitu tuvione haya mkoa wa njombe again bandari kavu makambako kwa nchi za SADC na mikoa ya nyanda za juu kusini pia Kuna project ya ujenz wa mantank ya mfuta makambako kwaajili ya mikoa ya kusini Sasa nyie wazee wa porojo mtaponea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…