Kahama VS Njombe/Mafinga

Huu SI wakati WA hadithi leta picha
 
Shinyanga idad ya magorofa 358.
Njombe 322.

Acheni ujinga magorofa sio tija nyie wehu
.Kama gorofa ni kitu cha msingi pwani na morogoro yangekuwa majiji kabla ya mbeya.
SAFi Sana mkoa wa njombe mikoa ya ambao hawajitambui ni kuikanyaga tu wAcha project ziendelee
 
Huu SI wakati WA hadithi leta picha
Ndo umetoka usingizini au hujaona picha zote et hadithi tatizo umbilikimo wenu unawafanya adi akili kudumaa zinawaza pafupi ulinganishe lake zone nyanda za juu kusini utajiri HIVO mnakielewa msemacho kina TU lake zone ukiskia unajua eeeh Kuna mambo
 
SAFi Sana mkoa wa njombe mikoa ya ambao hawajitambui ni kuikanyaga tu wAcha project ziendeleeView attachment 2544603View attachment 2544606
Unasifia nn wakak magorofa shy ni Zaid ya ruvuma ambay at mtu ukimuuliza ruvuma wanazalisha Nini utampiga uue hajui ila uliza lake zone wanazalisha Nini mapema Sana unapewa majibu

Halafu hapa sio Capetown au newzaland but ni lake zone cheki palivo
 
Ndo umetoka usingizini au hujaona picha zote et hadithi tatizo umbilikimo wenu unawafanya adi akili kudumaa zinawaza pafupi ulinganishe lake zone nyanda za juu kusini utajiri HIVO mnakielewa msemacho kina TU lake zone ukiskia unajua eeeh Kuna mambo
Kansa ya akili Ina kusumbua porojo hatutaki tunataka fact hayo maneno hatu taki hizo ni kama story za vijiwen go njombe go
 
Tatizo mlichelewa sana Sasa unapost majengo ya hospitali,shule wakat Kila mkoa na Kila wilaya yapo tena wilaya zingine yapo kitambo kwenu mnaona fahar kweli nyie bado sana haya mm skupi shule Wala hospital nakupa mijengo ya mji kabisa cheki
Kansa ya akili Ina kusumbua porojo hatutaki tunataka fact hayo maneno hatu taki hizo ni kama story za vijiwen go njombe go View attachment 2544619

 
Hivi kusini hamjiulizag Kwa Nini kampen zikianza nguvu huwa ni lake zone,kaskazin lakin kusini wanaendaga mbeya TU kidogo hii inatoa na kuonesha huko hamna Kila kitu Sasa at mbeya waliipa Jiji Ili msionekane mnatengwa ukanda wenu ila hyo mbeya ni hovyo Bora IRINGA. ingekuwa city kuliko mbeya
 
Kwa sababu huko ndiko Kuna ng'ombe wasiojitambua wamerundikana kwenye mazizi wanaita nyumba😁😁

Wanasiasa wanajua Nyanda za Juu tunajitambua hawawezi kuleta upuuzi huku.
 
Kwa hiyo Shinyanga ndio imeisha hivyo?
Yaani Njombe imewapiga in and out 😁😁

Sijagusa Songea ujue.
 
Hili jengo ni la NHC lipo dsm kweli njombe imewashika pabaya hadi mmeanza kuchukua picha za gorofa za dar mkoa wa shinyanga unafahamika gorofa zenye floor kuanzia Tano zipo mbili njombe imesha waacha mbali mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…