waza the white pelle
Member
- Nov 24, 2022
- 85
- 36
Kwanza hujui ku post picha kajifunze ndio urudi ulinganishe hicho Kijiji Cha Shinyanga na Songea .Shinyanga hyo msilinganishe na vimiji vyenu hvo sjui vinjombe visongea na hicho kijiji cha mbeya
Kwanza hujui ku post picha kajifunze ndio urudi ulinganishe hicho Kijiji Cha Shinyanga na Songea .
Leteni vitu kama hvyo kama mnavyo
Tuweke picha za Njombe (mkoa) na Kahama (wilaya) tuone ipi iko vizuri sawa?
Sijaelewa hizo malighafi tatu za mwisho zinatofautianaje na chanzo cha hizi takwimu pia bosi.Parachichi Vs Dhahabu, tukiwaambia barabara za Njombe zinatengenezwa kwa dhahabu ya Kahama mnasonya, sasa kataeni na hizi data hapa.
View attachment 2508491
Bado Samaki na mazao yake imemeza mbao na chai zote za Njombe, Tanzanite na yenyewe inapumulia mashine hukoo [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Tukiwaambia uchumi wa nchi ni dhahabu muwe mnaelewa....
We mgen na huu Uzi tuliwambia mlete gorofa ndefu kama hizi mkoa wa shinyanga mkachemka mkoa wa njombe ni next levelLeteni vitu kama hvyo kama mnavyo
Kwa super feo hagusi hata robo mzee FEo Za makaa ya maweNdio maana tunaongoza Kwa GDP,,Kwa sababu uchumi uko mikononi mwa watu [emoji116]
KATARAMA THE BOSSView attachment 2541782View attachment 2541783View attachment 2541784View attachment 2541786
Umeishiwa Mabasi Hadi unachafua Uzi Kwa malori we panya buku?.Ndio maana tunaongoza Kwa GDP,,Kwa sababu uchumi uko mikononi mwa watu [emoji116]
KATARAMA THE BOSSView attachment 2541782View attachment 2541783View attachment 2541784View attachment 2541786
Yaani Kwa hizi picha nimeamini Miji yetu ya Kusini ni mizuri na imeendelea sana aisee.View attachment 2541822View attachment 2541823View attachment 2541824View attachment 2541825View attachment 2541826View attachment 2541827View attachment 2541829View attachment 2541830View attachment 2541831View attachment 2541832View attachment 2541833View attachment 2541834View attachment 2541835View attachment 2541836
Michina dot-com [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2542628View attachment 2542629View attachment 2542631View attachment 2542632View attachment 2542633View attachment 2542634View attachment 2542635View attachment 2542636View attachment 2542637View attachment 2542638View attachment 2542639View attachment 2542640
Mlinge [emoji28][emoji28][emoji28]...mbeya imejaa mabanda kiasi kwamba hata mjengewe eight lanes hamwezi kuwa mwonekano Zaid ya kuwa kama hapa[emoji116]Umeishiwa Mabasi Hadi unachafua Uzi Kwa malori we panya buku?.
Hivi ndivyo Mbeya itafanana baada ya ujenzi wa njia 4, Katikati kutaachwa upande wa mita 9 na itaonekana kam Sam Nujoma View attachment 2542223
Sasa hata ubishe,ivimbe,unune nk haitakusaidia , yaani hayo mabanda unayoyataja hayatazuia ujenzi wa Barabara kuwa hivyo nilivyokuambia na kama unabisha sema nikuletee video ya Chief wa TanRoads akieleza..Mlinge [emoji28][emoji28][emoji28]...mbeya imejaa mabanda kiasi kwamba hata mjengewe eight lanes hamwezi kuwa mwonekano Zaid ya kuwa kama hapa[emoji116]View attachment 2542736
Jidanganye... kwamba wapi hawajengewi BRT ,,,,stop being dumbSasa hata ubishe,ivimbe,unune nk haitakusaidia , yaani hayo mabanda unayoyataja hayatazuia ujenzi wa Barabara kuwa hivyo nilivyokuambia na kama unabisha sema nikuletee video ya Chief wa TanRoads akieleza..
Hatuwezi kujenga dual carriage za kishenzi kama hizo za Mwanza,Arusha nk ,itakuwa ya mfano for future developments kwenye brt ,nk.
Unaongea ujinga na kuhama kwenye mada 😝😝Jidanganye... kwamba wapi hawajengewi BRT ,,,,stop being dumb
Hyo hapo sasa nini kingne unatakaWe mgen na huu Uzi tuliwambia mlete gorofa ndefu kama hizi mkoa wa shinyanga mkachemka mkoa wa njombe ni next levelView attachment 2542091View attachment 2542092
et kweli njombe hii ndo ulinganishe na shinyanga?? labda maganzoMkoa wa njombe upo kwenye project ya kuanzisha miji mipya na hii imetokana na halmashauri nne kuungana kimakazi tegemea kuona taswira nyingine mkoa wa njombeView attachment 2538860
View attachment 2538857View attachment 2538858View attachment 2538859View attachment 2538931