Kahama VS Njombe/Mafinga

Punguza ushamba wewe mbilimbi.,Master Lux ipo siku nyingi sana.

On top of that Gari zote zinasoenda Nje ya Nchi Kupitia Mbeya kama Lusaka,Lubumbashi,Lilongwe,Ndola,Kitwe,Harare na Kwa Madiba ni G7 yaani Ukiwa humo ndani kama uko Kwenye ndege..

Toka wameanza kuwaletea tu luxury mwaka Jana mwishoni mumepagawa 😁😁, Njooni Mbeya & Kusini Kwa ujumla muone usafiri classic Ili mpunguze ushamba.
 
Songea MC,wapi Musoma na Shinyanga 🀣🀣🀣🀣
Your browser is not able to display this video.
 
Mbona mavumbi na madongo mekundu Kila Kona ...hizo nyumba za mababu zipo katikati ya mji
Lami za Musoma na.Shinyanga ziko wapi? 😜😜

Usishahu Songea mc wametangaza ku upgrade hizo lami via Tactic na wako kwenye awamu hii ya kwanza..

Shinyanga na Musoma hazipo kokote 🀣🀣
 

Attachments

  • maxresdefault.jpg
    193.2 KB · Views: 9
  • maxresdefault (1).jpg
    290 KB · Views: 7
  • 319019_1.jpg
    114.3 KB · Views: 7
  • samanene-hotel.jpg
    99.5 KB · Views: 6
  • living-area.jpg
    55 KB · Views: 6
  • living-area (1).jpg
    55 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…