Kahama VS Njombe/Mafinga

W,,
 

Attachments

  • IMG_20230301_144224_2.jpg
    426.8 KB · Views: 8
  • IMG_20230301_110529_1.jpg
    298.1 KB · Views: 10
  • IMG_20230301_110446_6.jpg
    454.6 KB · Views: 8
  • IMG_20230301_110458_3.jpg
    318.8 KB · Views: 8
  • IMG_20230301_144151_9.jpg
    449.1 KB · Views: 9
Mkinga anapeleka G7 mwanza
...Hana muda wa kupeleka kwenye jiji chafu la vibanda kama mbeya

Huko tunazo siku nyingi wewe mbumbumbu,saizi ni zamu ya kuwatoa ushamba nyie Wasukuma.

Kilimanjaro
Superfeo
Sauli,

Hizi ni Scania luxury ziko siku nyingi ,nyie wa michina saizi ndio tubawatoa tongotongo Sasa,
 
Huko tunazo siku nyingi wewe mbumbumbu,saizi ni zamu ya kuwatoa ushamba nyie Wasukuma.

Kilimanjaro
Superfeo
Sauli,

Hizi ni Scania luxury ziko siku nyingi ,nyie wa michina saizi ndio tubawatoa tongotongo Sasa,
Picha ziko wapi ,,,ruti ya super feo G7 inayoenda mbeya
 
Wewe ushamba,wenge na ulimbukeni ndio unakusumbua.

Isamilo ni nini? Sio VIP? Mbeya sio sawa na huko Kwa qanauka ushuzi wa ng'ombe ,usipoleta VIP class pande hii inakukata,kwanza Barabara zinaruhusu na ustaarabu wa watu unaruhusu,huku hatuingii kwenye bus na mbuzi .
 
Oh .kumbe umeongezea list...Kuna VIP ya Mwanza to Mbeya
inaitwa isamilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…