ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,413
- 85,225
- Thread starter
-
- #12,921
Morogoro labda ushindanishe na Tabora,kuishindanisha na Mbeya unaionea ndio maana Uzi kule haujatembea watu wamesema hakuna pesa huko Moro..Huu mji Ni disgusting..yaani mnatia huruma Hadi machozi ....mji ni tughorofa tutatu tu Kila Mara unatupost . barabara chafu ,,nyumba matope Kila mahala
Mnazidiwa Hadi na Moro TownView attachment 2537202View attachment 2537203
Acha kuhamisha magoli ....nyie morogoro hamuiwezi hata Kwa nnMorogoro labda ushindanishe na Tabora,kuishindanisha na Mbeya unaionea ndio maana Uzi kule haujatembea watu wamesema hakuna pesa huko Moro..
Wewe mwenyewe unaona Kuna nini Cha maana hapo?
Ingawa Kwa mipango Miji Moro ni nzuri kuliko mauswazi ya Mwanza
Morogoro ifananishe na Tabora,ila Kwa planning imezidi mauswazi Yale ya Mwanza..Acha kuhamisha magoli ....nyie morogoro hamuiwezi hata Kwa nn
Eti old CBD ,mabanda cityMorogoro ifananishe na Tabora,ila Kwa planning imezidi mauswazi Yale ya Mwanza..
Mbeya old cbdView attachment 2537217
Morogoro ifananishe na Tabora,ila Kwa planning imezidi mauswazi Yale ya Mwanza..
Mbeya old cbdView attachment 2537217
Hapa naona kaghorofa kamoja na nyumba za matope 5000.Morogoro ifananishe na Tabora,ila Kwa planning imezidi mauswazi Yale ya Mwanza..
Mbeya old cbdView attachment 2537217
Toa ushamba wako hapa.Only in Mbeya
Naona ni Mwanza na Dar tu.Mbeya ikapambane na dodoma...ndo size yake
Hiv mbeya mshakuwa hata na special flight hata ya Mara Moja Kwa mwaka
Mji uko nyuma Kwa Kila yaaniView attachment 2537164
Video hii umeifungua au huna bando?Weka new cbd ya Mbeya tucheke hapa.
Inafanana sumbawanga yako...Morogoro ifananishe na Tabora,ila Kwa planning imezidi mauswazi Yale ya Mwanza..
Mbeya old cbdView attachment 2537217
Hiyo ni zamani sana ,Leo hii pako hivi 👇Inafanana sumbawanga yako...
🤣🤣🤣🤣🤣Bukoba labda uilinganishe na Uyole .
Mbeya hii hata Mwanza ikasome👇
View attachment 2537144
Mbeya gani unayoisemea? Ni hii hapa au Kuna nyingine?
Jamani hii ni CBD?Morogoro ifananishe na Tabora,ila Kwa planning imezidi mauswazi Yale ya Mwanza..
Mbeya old cbdView attachment 2537217
Mbna zote mbaya
According to wanyakysusa mwakimbeya mwakiCBDJamani hii ni CBD?
Ubaya wake upi?Mbna zote mbaya
Wew uzuri wake upi?Ubaya wake upi?
Jiji linakua Kwa KasiWew uzuri wake upi?