Hii cathedral watu wa kusini kuja kuipata ni miaka 1000.Wako wanashangaa architecture ya hili kanisa..
Wanajifeel wako Barcelona...
Hili kanisa ukipita lazima ugeuke...
Bukoba Cathedral....View attachment 2537139View attachment 2537140
Weka picha tuone tandika na Buguruni ilivyo 😆😆.Naona mitaa kama Tandika na buguruni malapa
Kweli ni slum city
Hii bukoba ya mwaka 1962 ni bora kuliko njombe na mbeya combined.Bukoba Town miaka ya 1980s...
Ni bora kuliko mbeya ya sasaView attachment 2537135
Wewe hunaga hoja zaidi na kuvuja mateHii bukoba ya mwaka 1962 ni bora kuliko njombe na mbeya combined.
Mitaa ya tandika inaafadhali kuliko hayo matope ya hapo mbeya na vijumba vya tope kila mahali.Weka picha tuone tandika na Buguruni ilivyo 😆😆
Leta mbeya ya mwaka 1970 we mbweha.Wewe hunaga hoja zaidi na kuvuja mate
Acha basBukoba labda uilinganishe na Uyole .
Mbeya hii hata Mwanza ikasome
View attachment 2537144
Mbeya gani unayoisemea? Ni hii hapa au Kuna nyingine?
Ila juzi nimepita Nzega pako vizuri kuliko mbeya mjini, pale nzega pako more organized.Wewe hunaga hoja zaidi na kuvuja mate
Ili jiji unalidhalilisha tu humu.
Kushindanisha Mwanza na vimji vya ajabu ni kujishushia heshima tu.
Uko sahihiIla juzi nimepita Nzega pako vizuri kuliko mbeya mjini, pale nzega pako more organized.
Lake zone nzima hakuna only in Mbeya 🔥🔥Kushindanisha Mwanza na vimji vya ajabu ni kujishushia heshima tu.
Only in MbeyaIla juzi nimepita Nzega pako vizuri kuliko mbeya mjini, pale nzega pako more organized.
Only in Mbeya 🔥🔥Ili jiji unalidhalilisha tu humu.
Mbeya ikapambane na dodoma...ndo size yakeOnly in Mbeya
Naona uswazi,matope ,uchafu ,vizimba na tughorofa twa hapa na pale
MbeyaMbeya ikapambane na dodoma...ndo size yake
Hiv mbeya mshakuwa hata na special flight hata ya Mara Moja Kwa mwaka
Mji uko nyuma Kwa Kila yaaniView attachment 2537164
Fikeni hapa kwanzaNaona uswazi,matope ,uchafu ,vizimba na tughorofa twa hapa na pale
Huu mji Ni disgusting..yaani mnatia huruma Hadi machozi ....mji ni tughorofa tutatu tu Kila Mara unatupost . barabara chafu ,,nyumba matope Kila mahala