nyie inaonekana hamjafika KAHAMA (JIJi la 7) mnadhanii hako kamjombe ndo kakulingana na kahama manispaaa ..Njombe inatoshana labda na tinde ,kagongwa au kakola halafu hapo kwenye mwanza na mbeya acheni ujinga nyie wambeya yaani mwanza jiji la 4 east africa ulinganishe na huo uchafu kwanza kwa kigezo gani yaan mnatumia ushahidi upi nyie acheni kujitoa ufahamu ..Narudi tena kwenu njombe..Njombe ni mji kahama ni manispaa hadi hapo mkubwa ashajulikana ..We huonagi hata hawa wasanii wakubwa tz ushawahi muona anakuja njombe alale wapi kwenye vibanda au..Lakn kahama kila mara utasikia wasaf haoo sababu wanajua ni sehemu yenye kila kitu wajinga nyie