Tulia hivyo hivyo kuna km 54 dual carriage zinakuja soon.
Halafu sisi jiji letu sio level ya kuongelea barabara za TACTIC mtandaoni ambazo kila mwaka zinajengwa. Hizo huwa hatutumii nguvu zipo tu automatically, na mwaka huu zipo za kutosha tu
Barabara gani hizo mnazojenga Kila mwaka? Mbona hatuziona na mnategemea tactic?
Wewe elewa kwamba Mbeya hatuwezi kushindana na nyie kwenye Barabara.
Hata zikija hizo km 54 Bado tuna km 218 za Igawa,Uyole Hadi Tunduma hakuna kitu mtatushinda.
Mwisho niliwaambia Mwanza hakuna Dual carriage narudia hakuna,hiyo mnaita dual carriage ni kituko..
Hii Barabara ya Mbeya itajengwa kama Sam Nujoma Road, Katikati Kuna mita 9 zitaachwa Kwa Ajili ya Brt,service roads za mita 2 Kila upande huku Kila lane ikiwa na mita 3.5 yaani mita 7 upande mmja na 7 mwingine.
Mbeya itanoga japo wameniudhi sijasikia flyover kama alivyosema VP.
Kweli mimi na akili yangu nipost mradi wa bilion 2.
Tuna miradi mikubwa kwa ujumla wake inafika 1T. Hebu jumlisha miradi yote ya mkoa wako tuone inafika ngapi