Kahama VS Njombe/Mafinga

Awamu zote 3 zitagharimu bil 250,Maji yatafika Hadi Songwehttps://www.instagram.com/reel/CoaGEiOAbIj/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
 
Bukoba inakua kimya kimya....waislamu wa Bukoba wameamua...

Kwa wale wasiojua Bukoba kuna ushindani mkubwa wa kimaendeleo hasa kati ya dini tatu za Catholics, Lutherans na Islam...wote wanashindana kwa vitega uchumi...
1. Tayari wakatoliki wanajenga conference centre na pastoral centre kubwa hapo Bk mjini kati..picha nitazileta...bila kusahau kanisa lao kuu ambayo ni kama landmark ya mji wa bk
2. Lutheran wana jengo lao la kitega uchumi hapo mjini kati
3. Sasa waislam baada ya kufungua msikiti wao kupitia istiqaama na shule ya Jaffery sasa wanakuja na shopping centre

Kesho wanaweka jiwe la msingi....na ni katikati ya mji kabisa....

Bakwata kagera shopping centre...ujenzi unaanza kesho
 
Im
Inasimikwa mitaa gani Boss??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…