Kahama VS Njombe/Mafinga

Barabara ya zege ludewa tayari kwa kuingia magari na kufungua fursa mpya ya migodi njombe ambapo tayar nje ya chuma na makaa ya mawe Kuna dhahabu ,Shaba na manganese yamegundulika njombe region mkoa unakuja kasi ya 5G
 

Attachments

  • FB_IMG_16757340856327748.jpg
    32.5 KB · Views: 8
Mwaka 2011 hii ilikuwa wilaya moja ya njombe dc kabla mkoa haijaanzishwa kutokana na Kasi ya ukuaji imezaa halmashauri tatu ambazo kutoka halmashauri moja kwenda nyingi ni km 30 ni eneo lenye ukubwa wa km za mraba 8000 plus sawa na wilaya ya mufindi ila ndo eneo lenye watu wengi kimkoa kama laki sita plus




 
Kanda ya ziwa ina export asilimia 90 ya dhahabu nchini..Kwa hyo kwenye trillion 6.5 ,,trilion 5.9 zinatoka Kanda ya ziwa ....
Kanda ya ziwa ina export asilimia 95 ya samaki nchini kwenye bilion 388 ,,bilion 300 zinatoka Kanda ya ziwa ..in addition Kanda ya ziwa ina export asilimia 98 ya pamba na asilimia:50 ya kahawA ... source BOT.
 
Ndio maana serikali inaogopa sana utawala wa majimbo kwasababu kands ya ziwa ndio inajenga nchi lakini tunazidi kunyonywa kila siku.
 
Geita utasemaje sasa ,,,vip bariadi nayo
 
Ndio maana serikali inaogopa sana utawala wa majimbo kwasababu kands ya ziwa ndio inajenga nchi lakini tunazidi kunyonywa kila siku.
Ni lini utakuwa na akili Mzee? Yaani GDP ya 12 ndio inajenga Nchi?

Saizi tuu mnaolalamika Njaa si mtakuwa kama Wa Ethiopia kukimbia kwenu? Mtakula dhahabu?
 
Mtakula Madini? Huoni wabunge wenu wanavyolia njaa huko?
 
Geita Gani mzee ya kulinganisha na eneo Hilo ambalo tayali wamegawa halmashauri nne na zipo fire hatari
Geita wilaya imezaa halmashauri 4 ..geita mjini, geita vijijini,nyang'wale na busanda..soon pia kutakuwa halmashauri ya katoro ....
Bariadi wilaya imezaa 4 .itilima , bariadi mjini,bariadi vijijini na imechangia kuzaa wilaya ya busega ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…