Kahama VS Njombe/Mafinga

Kampuni la max coal ludewa kupitia makaa ya mawe litazalisha mafuta na gas maana dissel na petrol na kazi inaendelea pia yanatumika kuutengeneza na mbolea
 
We kweli hujielewi. ...VIP ya happy national ndo haikuwepo ...ila semi luxury zilikuwepo
Naona mwanza imewapiga 5:0 kwenye mabus
 
We kweli hujielewi. ...VIP ya happy national ndo haikuwepo ...ila semi luxury zilikuwepo
Naona mwanza imewapiga 5:0 kwenye mabus
Nyie ndio kwanza mnaanza kupata VIP tena mpaka Sasa kampuni ni hizo 2 tuu ya Ally's na Hawa Happy Nation kama watakuja..

Mbeya tuna VIP kibao za Dar siku nyingi zaidi ya kampuni 10..

Sasa hivi nimekuta Kuna VIP ya Mwanza Ile Isamilo VIP ya Tanga inaitwa Mbeya City express,Mabasi mazuri kama Dreamliners.
 
Hizo kumi ziko wapi .. tofauti na NBS ,pamoja SAULI ....by the way mwanza Ina kampuni 17 za usafiri wa kwenda dar ...na zote ni semi luxury..na VIP ,...
 
Sas isamilo VIP inahesabiwa mwanza au mbeya .
 
Hizo kumi ziko wapi .. tofauti na NBS ,pamoja SAULI ....by the way mwanza Ina kampuni 17 za usafiri wa kwenda dar ...na zote ni semi luxury..na VIP ,...
🀣🀣🀣🀣🀣 NBS?
VIP Class hizi hapa

Achimwene,
Sauli,
ABC Upper Class,
Master Lux,
New Force/Golden Deer
Imani Plus,
Al Saedy.
 
NBS?
VIP Class hizi hapa

Achimwene,
Sauli,
ABC Upper Class,
Master Lux,
New Force/Golden Deer
Imani Plus,
Al Saedy.
Ko zimeisha au

Libanika
Allys
New best line
travel partner
Happy national (soon)
isamilo Express
Kisesa express
Hizi zote ni VIP NA VVIP
hivi mbeya Kuna VVIP hata Moja kweli kama hili dubwana
 
Wacha kuleta porojo,unajua hata maana ya VIP wewe Hadi ulete hayo mabati chakavu ya Kisesa na sijui Libanika? VIP ni Ally's tuu hizo zingine ni Luxury standards.

Unajua bei ya VIP wewe?

Ona wenzako wanaoujua ukweli wanavyoongea hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…