Kahama VS Njombe/Mafinga

Mpaka sasa mwanza inazidi kuvutia makampuni mengi Kwa huduma ya usafirishaji abiria ....Kuna makampuni zaidi ya kumi na 17 yanafanya ruti za Kila siku dar to mwanza ...hii Ina maanisha mwanza ni mji wa kwanza unaofanya biashara na jiji la dar pia Ni mji unaotembelewa na watu wengi kwa ajili ya biashara na shughuli nyingine ..
Kampuni Mpya mwezi huu
Katarama luxury
New best line
 

Dealers wa Toyota kahama. Haya njombe mna dealers wa maguta na mikokoteni ya kubebea mbao
 
Kwa Sasa nimeona Kampuni zimeongezeka Kipande hiyo ila ulikuwa una tu fix kumbe Happy Nation haikuwepo huko
Ila Bado sana kufikia kuwa na Luxury za kuzidi kama za Mbeya
 
Mafinga gorofa zao nyingi ni fupi zipo kama hivo ndefu iliyo kamilika ni cf plaza na mbili za gorofa tatu zinaendelea kujengwa ko gorofa ndefu mafinga zipo tatu tu zingine ni gorofa mbili tu njombe ndefu ndo zipo

Dwarf buildings,Kwa Sasa Ligi iwe Kahama vs Makamba naona Njombe na Mafinga ni kama inawaonea..

Nimepita wiki Jana Mafinga Iko fire 🔥🔥 hatari sana.
 
Sawa sio ndefu ila ziko nyingi na nyingine kibao ziko underconstruction plus Mji unakua sana na Kuna investments Mpya Kila siku,Vituo vya mafuta ndio usiseme.

Hapo Makambako Kuna jengo refu kama floor 5 la ghorofa linafanyiwa cladding Kwa Sasa nashangaa hutupii picha humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…