Hiyo ni project kubwa mzee usilinfanishe na viwanda mshenz vya mwanza nenda ukatembelee kama huto futa maneno Yako hayoSasa hiki kiwanda cha dawa, tuviwanda kama utu twa dawa tupo kama vitatu kwenye kata moja ya buhongwa ikiongozwa na prince pharmaceutical company.
Viko wapi?Sasa hiki kiwanda cha dawa, tuviwanda kama utu twa dawa tupo kama vitatu kwenye kata moja ya buhongwa ikiongozwa na prince pharmaceutical company.
Fursa za kuongeza mapato ya HalmashauriNaona makete nao wameamua kunufaika na TAZAM road ambayo ipo busy na usafirishaji wameamua kujenga stendi kwenye kata zao zilizopo TAZAM road na ni miongoni mwa watakao nufaika na utanuzi wa bara barara ya Igawa hadi mbeya wao Wana km 16 zipo makete njombe baada ya chimala uelekeo wa makambako na hii na hapa ndo short cut ya kuingia makete mjini ni km 50 tu kuliko kuzungukia njombe
View attachment 2493522
View attachment 2493523
View attachment 2493524
View attachment 2493525
Unajua masoko wewe?, Mnajiandikia tu.Makambako ni mwendo wa kuongeza masoko ujenz unaendelea
View attachment 2493529
Tatizo exposure, sio tatizo lako.Hiyo ni project kubwa mzee usilinfanishe na viwanda mshenz vya mwanza nenda ukatembelee kama huto futa maneno Yako hayo
Hivi hawa Tarura wamewaonaje watu wa kahama, mbona Tarura hawana nidhamu wa adabu kwa kahama, ni lini kahama itaheshiwa kwa hadhi yake? Hao TARURA walishindwa nini kujenga hiyo 1 km ya barabara kwa kiwango cha lami ngumu na badala yake wameamua kujenga kwa kiwango cha changarawe? Mapato ya kahama yanachukuliwa kwenda kujenga 54km dual carriage huko kusini, jama jama hii sio fair ata kidogo.Kahama tunayopogiwa makelele ndio hii hapa sasaView attachment 2493679
Imejaa mavumbi na uswazi Kila Kona ππππ
Hahaha yaYan hii ni aibu tunavo sema hii ni manispaa ya mchongo tu yani miji saiz ni mwendo wa kupiga lami nyie mnaonesha changalawe km 1 Karne hii aibu SanaKahama tunayopogiwa makelele ndio hii hapa sasaView attachment 2493679
Imejaa mavumbi na uswazi Kila Kona ππππ
Tatizo exposure, sio tatizo lako.
View attachment 2493707View attachment 2493708View attachment 2493709View attachment 2493710Haya hivyo vipo makambako tuonyeshe vya mwanza sio manenoView attachment 2493711
Uchafu kama huu upo mwing sana lake zone upo toka mbeya inaitwa southern highlands haina ata 100miters za lami.Ukiwaambia walete Barabara za mitaa Ya Miji Yao ni sawa na kuwafukuza jukwaani
Sumbawanga street roads View attachment 2493635View attachment 2493636View attachment 2493637View attachment 2493638View attachment 2493639