Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Atakuja na data anakuambia lindi wapo vizuri zaidi ya Mwanza.Yani Mwanza inayolisha East Africa ulinganishe na Ruvuma. Huu ni wehu wa hali ya juu.
Atakuja na data anakuambia lindi wapo vizuri zaidi ya Mwanza.Yani Mwanza inayolisha East Africa ulinganishe na Ruvuma. Huu ni wehu wa hali ya juu.
Alishaleta data kuwa njombe ni better than Mwanza.Kumbe ni mtu wa mbeya. Anataka ashindanishe Mbeya na Mwanza!!!?
Mbeya kama Dar Ina CBD 2 za Mwanjelwa na City CenterUmekalia wivu tu, leta mbeya cbd nikuletee Nyasaka.
Acha ujinga. Unawadhalilisha watu wa Mbeya.Mbeya kama Dar Ina CBD 2 za Mwanjelwa na City Center
Yaani Mimi nichukie huko mnakooza na Kansa? Nichukie huko kumejaa maskini Kwa lipi hasa? Kuwa serious basi Broo.Utakufa na chuki dhidi ya kanda ya ziwa.
Leta picha ya cbd kali kati ya hizo tulinganishe na igogo.Mbeya kama Dar Ina CBD 2 za Mwanjelwa na City Center
Kwani lazima kula mbasa? The economy always provides Substitutes .Hivi unaujua uchumi wa Coal wewe? Uchumi ni miundombinu kijana. Pamoja na nyumba nzuri na kula chakula vizuri.
Huko Songea samaki mbasa hapatikani.
Tofauti na coal chanzo cha mapato Ruvuma ni nini?
Haya tuambie vyanzo vya mapato vya Mbeya na Ruvuma.Kwani lazima kula mbasa? The economy always provides Substitutes .
Kama Mbele mwanangu,we call it sweet home the green City![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Leta picha ya cbd kali kati ya hizo tulinganishe na igogo.![]()
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 MbeyaKama Mbele mwanangu,we call it sweet home the green City
Kilimo namba 1,Madini anuai, biashara na uvuviHaya tuambie vyanzo vya mapato vya Mbeya na Ruvuma.
Hiyo ni cbd ya mbeya???
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kilimo cha nini mzee. Kanda ya ziwa hawajui hata mchele wenu wa mbeya. Huna exposureKilimo namba 1,Madini anuai, biashara na uvuvi
Kilimo namba 1,Madini anuai, biashara na uvuvi
Kila siku jengo lilelile baada ya kupewa msaada na serikali😀😀😀
af hyo igogo anayoiponda ina viwanda vingi kuliko Jiji la mbeyaAcha kuruka ruka nataka tushindanishe igogo uswahili na cbd ya mbeya wapi kuna maghorofa mengi😝😝😝😝
Hii sehem naifananisha na kwimba, pako hiv hiv jengo moja la floor tano alaf nyumba za pemben ni za kawaida.Kama Mbele mwanangu,we call it sweet home the green City
Hapa mpaka ukimbie. Maana ushamba umekujaa. Check mikoa ya kanda ya ziwa ilivyojazana, kilimo cha mpungaKilimo namba 1,Madini anuai, biashara na uvuvi