The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Tutakuwa tunarudia tuu na wenzio walishakiri humu hata LATRA wanalijua hili.Anza .......Kila bus picha Moja tu ..ruti ni mbeya to dar ,,not otherwise wise
Endelea kujiaminisha hivyo saw .🙄🙄😁😁Tutakuwa tunarudia tuu na wenzio walishakiri humu hata LATRA wanalijua hili.
Sio tuu wingi wa Mabasi Bali hata VIP Class
Naanza na list hizi ni baadhi tuu,hizi ni kampuni 15 kwanza ,leta za Mwanza maana hukawii kurudia rudia.Endelea kujiaminisha hivyo saw .🙄🙄😁😁
Busokelo Kuna lami,,,,ileje je
Makinda alikuwa wa Njombe nyanda za Juu kusini.Tumkumbushe pia kuwa nyanda za Juu kusini haijawahi kua nyuma kutoa viongozi wakubwa.Mizengo Pinda-PM,Luhanjo Chief secretary,Kusiluka mawaziri ndio usiseme.Aliyemuelewa huyu kima wa saa nane anitag..
Ingekuwa urefu ni akili huko kwenu Mungemchagua Mpina,Musukuma au Mashimba Ndaki kuwa Rais badala ya Mwendazake mnaemuona Mungu wenu.
Mbeya 👇
Mwanza to darNaanza na list hizi ni baadhi tuu,hizi ni kampuni 15 kwanza ,leta za Mwanza maana hukawii kurudia rudia.
Newforce enterprises,
Sauli,
Green line,
Rungwe express,
ABC upper class,
Mbeya express,
Kilimanjaro express,
Achimwene Safaris,
Iman Plus,
Diamond Platnumz,
Happy Nation,
Majinja Special,
Al Saedy High Class,
CAG Travel Coach,
Master Lux Express.
View attachment 2491025
CAG ikikatiza mitaa ya Mbeya
View attachment 2491023
Hapo Kuna kampuni zaidi sijazitaja ..nangojea uongeze listMwanza to dar
Alfa express
Ally's Star
Kisesa
Zuberi
Maja luxs
Abood
Happy national
Super najmunisa
libanika trans
Frester
Salvation
Travel partner
Kidia one
Kisbo .
View attachment 2491032View attachment 2491034View attachment 2491035
Aliyemuelewa huyu kima wa saa nane anitag..
Ingekuwa urefu ni akili huko kwenu Mungemchagua Mpina,Musukuma au Mashimba Ndaki kuwa Rais badala ya Mwendazake mnaemuona Mungu wenu.
Mbeya
Mwanza to dar .. continuedMbeya to Dar,
Abood,
Royal Luxury,
FM Safari
Kwa Mbeya to Dar kampuni zimeisha zilizobakia ni za Nje ya Nchi zinazopitia Mbeya..View attachment 2491085View attachment 2491086View attachment 2491087View attachment 2491107View attachment 2491108View attachment 2491109View attachment 2491110View attachment 2491111View attachment 2491112View attachment 2491113View attachment 2491114View attachment 2491115View attachment 2491116
KuongezeaMwanza to dar
Alfa express
Ally's Star
Kisesa
Zuberi
Maja luxs
Abood
Happy national
Super najmunisa
libanika trans
Frester
Salvation
Travel partner
Kidia one
Kisbo .
View attachment 2491032View attachment 2491034View attachment 2491035
Mwanza to ArushaMbeya to Arusha
Arusha Express,
Hajji's Express
Capricorn Royal Class,
Kimotco,
Glacious Safaris,
Sharon Express
Wapi Mwanza to Arusha?View attachment 2491096View attachment 2491151
Acha upuuzi,ukitoa Isamilo mengine yote yamejifia 🤣🤣🤣🤣Mwanza to dar .. continued
Phoenix
Isamilo
Kureed hunters
Best line
Kvc safaris
Mpaka hapo hesabu uone ni bus ngapi tumewezidi
Geita Ina watu wangapi vs Mbeya?
Kama ni idadi ya watu ,mbona dodoma imeizidi Morogoro na tabora Kwa majengo wakati Ina watu wachache kuliko hio mikoaGrits Ina watu wangapi vs Mbeya?
Geita 2.9+M.Grits Ina watu wangapi vs Mbeya?
Sasa ulitegemea majengo yawe mengi Les minajiri ipi?Geita 2.9+M.
Mbeya 2.3+M.
Dodoma majengo mengi ni ya serikali,reasoning ndogo kama hiyo inakushinda?Kama ni idadi ya watu ,mbona dodoma imeizidi Morogoro na tabora Kwa majengo wakati Ina watu wachache kuliko hio mikoa
Phienix na Tungi walishajifiaKuongezea
Tungi's
Isamilo
Nyehunge
Travel partner
Phoenix