Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Ukiacha Chunya-Mbeya,dhahabu pia inapatikana Wilaya ya Songwe Mkoa wa Songwe..

Songwe District ni nyumbani Kwa Mgodi wa 4 Kwa ukibwa Tanzania wa New Luika.

Hakuna kitu Lake zone wanacho hakipatikani Nyanda za Juu Kusini 👇
 
Ukiacha Chunya-Mbeya,dhahabu pia inapatikana Wilaya ya Songwe Mkoa wa Songwe..

Songwe District ni nyumbani Kwa Mgodi wa 4 Kwa ukibwa Tanzania wa New Luika.

Hakuna kitu Lake zone wanacho hakipatikani Nyanda za Juu Kusini
Haya madini mnayo
20230107_182901.jpg
 
Ukiacha Chunya-Mbeya,dhahabu pia inapatikana Wilaya ya Songwe Mkoa wa Songwe..

Songwe District ni nyumbani Kwa Mgodi wa 4 Kwa ukibwa Tanzania wa New Luika.

Hakuna kitu Lake zone wanacho hakipatikani Nyanda za Juu Kusini
Migodi minne mikubwa ni hii
GGM
barrick bulyahulu
barrick nyamongo
Buckreef
Shanta mine
Nyanzaga is coming
 
Migodi minne mikubwa ni hii
GGM
barrick bulyahulu
barrick nyamongo
Buckreef
Shanta mine
Nyanzaga is coming
Acha ubishi usio na Tija,Buckreef hakuna kitu hapo.

Hiyo Shanta ni kampuni inamiliki migodi maeneo mbalimbali na Mgodi wao mkubwa Kwa Sasa hapa Tanzania ndio huo wa Luika.
 
Ukubwa wa mgodi,umepima nini
je kiwango Cha uzalishaji wa dhahabu uliopo,,, reserve ya dhahabu,,mtaji na rasilimali za uwekezaji, au mapato ya mgodi .
 
Soma kiwango Cha uzalisha acha kuropoka na pia soma investment capital japo hii sio factor sana Kwa sababu migodi mingine ni underground na mingine open mfano wa Shanta Luika ni open Kwa hiyo investment cost yake haiwezi kuwa sawa na underground mines.
 
Ukubwa wa mgodi lazima upime resources invested ,, reserve ya madini (inapima lifespan ya mgodi,) na uzalishaji pia ...weka figure hapa ili tuamini maneno yako
 
Back
Top Bottom