Nimeelewa ndio maana inaitwa kigoma ujiji na mtwara mikindani.ππππKigoma na mtwara zilipewa manispaa Kwa kujumlishwa miji miwili tofauti...kigoma ilijumlishwa na ujiji . mtwara ilijumlishwa na mikindani ...hata misungwi itajumlishwa na Usagara i itakuwa manisapa
Mkoa wa Chato ndani,,π€£π€£
Mumemaliza kubishana?Mkoa wa Chato ndani,,π€£π€£
Amka kwenye ndoto wewe ππView attachment 2484006
Yaani barabara haiepukiki 4ways ntarudi siku moja kusema apa
Amka ndotoni wewe ππView attachment 2483995View attachment 2483996feasibility study tayari 4ways,kama 87km itakua 4ways ni suala la Muda tuu, pia barabara ya Mwanza to Mwanangwa ikijengwa nauhakika barabara ya Busisi-Usagara nayo wataipanua 4ways
Unatuletea Miche ya parachichi unataka kulinganisha na migodi ya dhahabu na almasi wewe kweli mwananjombe
Ndoto ganj wew ..soma hapa [emoji116]Amka ndotoni wewe [emoji23][emoji23]
Dhahabu ni ya Wazungu,Miche ni ya kwetuUnatuletea Miche ya parachichi unataka kulinganisha na migodi ya dhahabu na almasi wewe kweli mwananjombe
Mpaka pale kahama imeitwa jijiHivi hii ligi kuja kuisha sijui ni lini
Atq mimi nasema hivi ni pale misungwi itakapokuwa manispaa kabla ya miji ya nyanda za juu kusini..Mpaka pale kahama imeitwa jiji
Uko wapi? Hata dalili za kuanza hazipoSunk anafurahia njia nne wakat huo mrad hata mwanza upo πππ