Kahama VS Njombe/Mafinga

Tuna mradi wa Maji wa Kiwira pale Mbeya Bil.250 una habari Mzee?
 
Ebu Tutolee mawazo yako takataka hapa .miradi yote ya maji mama kaikuta ,,,,,sijaona mradi Mpya aliouanzisha ...kama ruwasa na project zake zimeanzishwa awamu ya Tano .
cc Chawa wa Samia [emoji12]
Ameikuta wapi? Inatakiwa kukamilika Kwa miaka mingapi? Mabula akihojiwa na Nyanda alisema miradi ilikwama kuanzia ya maji Hadi stand ni Rais Samia kaikwamua 😁😁
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] The Sunk Cost Fallacy 2 au mbeya iitwe mwanza
 
Eti ni jangwa ...[emoji28][emoji28]...
Kati ya nsalaga na mwanza wapi jangwa.

Hii ndio green city [emoji28][emoji28][emoji116]..kwamba hapa ni green kuliko mwanza [emoji28][emoji12][emoji12][emoji3062]View attachment 2482719View attachment 2482720
Mwanza yote ni jangwa nani anaweza bisha? Mtu anaishi Kwimba sijui Kisesa au Misungwi yaani ni hali mbaya ila unajitutumua tuu hapa..
 
Mwanza yote ni jangwa nani anaweza bisha? Mtu anaishi Kwimba sijui Kisesa au Misungwi yaani ni hali mbaya ila unajitutumua tuu hapa..
Ungeleta picha ,,tungeamini ,lakin Maneno matupu ni nonsense ....unadhani huku ni kama Kwa shemeji zako dodoma [emoji28][emoji28][emoji28]
Like malorca Spain[emoji116]
 
Hio meli inaisha lini?


Maana naona wanapanua bandari za bukoba na kemondo huku...
 
Unaongelea vibarabara vya lami wakati wenzio walishatoka huko, sasa tunawazia megaproject tu, hivyo vimradi vya barabara huwa tunajenga wenyewe kwa mapato yetu😝😝😝😝😝😝😜😜
 
Tunawatakia safari njema kwenye kusafirisha hayo mazao kuelekea Dar, nyie mlishafanywa kama mashamba ya bibi.
 
Umesahau sgr
 
Tunawatakia safari njema kwenye kusafirisha hayo mazao kuelekea Dar, nyie mlishafanywa kama mashamba ya bibi.
Huna lolote zaidi ya wivu 😁😁

Jumla ya Km 87 za lami sinatandikwa Vijijini πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…