Ukisema hvyo ...nitakuuliza pia mbeya na tabora imeunganishwa na lami ?...ni lazima tubalance kwenye kuangalia utekelezaji wa miradi ya maendeleo badala ya kulaumuSimiyu na mikoa ya kaskazini imeunganishwa?
Kama wewe ndio mjumbe wa neck huko ccm basi chama kimeoza .Huku tayari zipo ...
Sa Hivi tuna deal multi bilion projects,,,sio vibarabara uchwara hivyo ambavyo total budget haifikii hata 200 bilioni
Hili daraja linafanya mtusahau kabisa kwenye miradi, mtuonee huruma japo barabara moja ya muhimu kutoka magu, kwimba adi kahamaHilo halipo Hadi daraja la Magufuli liishe,kwanza gharama ya mradi ni sawa na km 500 za lami
cc mjumbe wa NEC ππHili daraja linafanya mtusahau kabisa kwenye miradi, mtuonee huruma japo barabara moja ya muhimu kutoka magu, kwimba adi kahama
Kuna barabara kubwa tu inajengwa kutoka karagwe kwenda Ngara via benacco mkoa wa kagera....Mtapata Barabara kuanzia mwaka ujao wa Fedha Kwa Ajili ya kampeni..
Huko Kuna Sgr na faraja ,Barabara za nini tena?
Awamu hii ni zamu ya Kusini na western
Ngoja tuendelee kubalance adi miaka 20 ijayo ambapo southern zone na western zote zitakapokuwa na barabara za lami adi uchochoroni.Ukisema hvyo ...nitakuuliza pia mbeya na tabora imeunganishwa na lami ?...ni lazima tubalance kwenye kuangalia utekelezaji wa miradi ya maendeleo badala ya kulaumu
Nyie kagera mnakula mema ya nchi hawamu hii, kila wilaya zenu zote zimeunganishwa na lami, sisi tunaambiwa tusubiri adi daraja la busisi liishe.Kuna barabara kubwa tu inajengwa kutoka karagwe kwenda Ngara via benacco mkoa wa kagera....
Sasa hiv kwenda karagwe au kyerwa itakuwa sio lazima kupitia Bukoba....
Mnahitaji wabunge wapiganaji...kama hiyo barabara kyerwa kunganishwa na karagwe biharamulo na ngara ni mbunge bashungwa ambaye ni mbunge wa huko...Nyie kagera mnakula mema ya nchi hawamu hii, kila wilaya zenu zote zimeunganishwa na lami, sisi tunaambiwa tusubiri adi daraja la busisi liishe.
Hili daraja linafanya mtusahau kabisa kwenye miradi, mtuonee huruma japo barabara moja ya muhimu kutoka magu, kwimba adi kahama
Tactics pekee wanajenga km 30 za lamiNgoja tuendelee kubalance adi miaka 20 ijayo ambapo southern zone na western zote zitakapokuwa na barabara za lami adi uchochoroni.
Ndio maana nimemwambia mwenzio kwamba Kagera,Mara,Geita na Simiyu Kuna miradi ya Barabara inaendelea.Kuna barabara kubwa tu inajengwa kutoka karagwe kwenda Ngara via benacco mkoa wa kagera....
Sasa hiv kwenda karagwe au kyerwa itakuwa sio lazima kupitia Bukoba....
πππππ naiomba serikali itukumbuke kwenye barabara hasa huko wilayani.unamwomba nani akuonee huruma
Hizo miradi ipo ndani ya jiji we unafurahi kula na kusaza ndugu zako wakina kwimba, magu, sengerema, simiyu hawana lami ata kilometa moja.Tactics pekee wanajenga km 30 za lami
TARURA wanajenga km 10 Kila mwaka za lami
Tanroads wanajenga km 10 za lami mkuyuni.na wamemaliza upembuzi shy road na nyanguge road kwa ajili ya dual carriage .
Mungu atupe nn mwanza
Kwan mbeya Kila wilaya zinajengwa lami ....Hizo miradi ipo ndani ya jiji we unafurahi kula na kusaza ndugu zako wakina kwimba, magu, sengerema, simiyu hawana lami ata kilometa moja.
Focus ya serikali ni Mkoa Kwa Mkoa ,hizo za Wilayani zisubirie kwanza..πππππ naiomba serikali itukumbuke kwenye barabara hasa huko wilayani.
Ukisema Kila eneo lipate maendeleo Kwa sababu ya kuwa na watu kwenye mfumo ..Hilo suala halikubalikiMnahitaji wabunge wapiganaji...kama hiyo barabara kyerwa kunganishwa na karagwe biharamulo na ngara ni mbunge bashungwa ambaye ni mbunge wa huko...
Kajenga hata stendi ya mji wa karagwe jimboni kwake...
Hata Bukoba mjini stendi itajengwa haraka sana kwa sababu ya byabato yule waziri...
Nyie mna akina Mabula...wapambane aisee wasitoke burebure...
Anyway bado kagera inamambo mengi sana yaliyoachwa...haswa kwenye masoko ya mazao kama kahawa, maharage, ndizi, vanilla nk yanaozea mashambani
We jamaa ni primitive Sana ..reli ndio njia rahisi ya kufungua uchumi ,kuliko hizo barabara..china sio wapumbavu kujenga high speed rail way gauge ,,,Kwan pesa za barabara hawanaFocus ya serikali ni Mkoa Kwa Mkoa ,hizo za Wilayani zisubirie kwanza..
Ndio maana nimekuwa nasema ni upuuzi kuweka Nguvu kubwa kwenye reli ambayo ni useless na kuacha Barabara ambazo ndio zinasaidia ukuaji wa uchumi wa mtu mmja mmja directly.
Mbeya kuna jimbo gani halina lami? Na sisi tunataka barabara za lami huku kanda ya ziwa.Kwan mbeya Kila wilaya zinajengwa lami ....
Hata hivyo mwanza ni maJimbo mawili tu ya sumve na buchosa ndio hakujaunganishwa lami .. kwingine kote lami
Acha kupayuka yaan sgr ulinganishe na barabara kiuchumi.Focus ya serikali ni Mkoa Kwa Mkoa ,hizo za Wilayani zisubirie kwanza..
Ndio maana nimekuwa nasema ni upuuzi kuweka Nguvu kubwa kwenye reli ambayo ni useless na kuacha Barabara ambazo ndio zinasaidia ukuaji wa uchumi wa mtu mmja mmja directly.
Busokelo Kuna lami,,,,ileje jeMbeya kuna jimbo gani halina lami? Na sisi tunataka barabara za lami huku kanda ya ziwa.