Ta-kibombo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 648
- 514
Hayo maduka unayosema mabanda nenda kashangae yanajengwa huku na watu binafsi.Yanajengwa sabasaba,Ccm mkoa,Mnara wa voda nk.Shopping mall na wasukuma wapi na wapi Mzee? Ukute ni maduka mtu unaita shopping mall ππ
Itakuwa ni mapambo kama Rocky city
Mambo makubwa kama yapi? Stand tunazo Sasa tujenge stand za nini Kwa mfano? Tunajenga Barabara za mitaaNyie mnaokusanya bilioni 100 mbona hamjaweza kufanya mambo makubwa kama ya shy town au kahama.... Endeleeni kusubiri miradi za kulamba watu miguu.
Mradi wa Chuo Kikuu Cha MUST chini HEET Rukwa Campus kuanza..Acha kupanic usifananishe shy town na lijiji la mabajaji kama la mbeya.
Nyie mnaekusanya nyingi mbona miradi yenu hatuioni?Kwa tarifa yako makusanyo mwaka huu yatapanda mara mbili yake pia halmashauri imekuja na mbinu mpya yakupata fedha yakutekeleza miradi.Kwa pesa gani walizonazo hawafikishi hata bil.4 Kwa mwaka,ndio maana wanajenga mabanda
Unaumwa wewe,Chuo cha Ushirika moshi ukitoa main campus ya moshi tawi lingine ni la Kizumbi Shy,tena ili la Shy linakatwa mwaka huu kiwe chuo kikuu kinachojitegemea tayari uboreshaji miundombinu unaendelea,hii ni sambamba na upandishaji wa chuo cha afya na tiba kolandoto.Kuna vyuo vikuu vipya viwili pia vitajengwa mwaka huu.Mradi wa Chuo Kikuu Cha MUST chini HEET Rukwa Campus kuanza..
Huko Shinyanga Mabaiskeli Kuna tawi hata la Chuo Kikuu ukiacha OUT? πView attachment 2480413
Endelea kukalili,tutakukaribisha baada ya mwaka mmoja ushangae mabadiliko yaliyopo.Mipango inayofanyika kutekelezwa mpaka 2026 niyakushangaza.Jiji la mabaiskeli labda
Na huu ni wakati wenu ila waambie watukumbuke na sisi wa kanda ya ziwa naona kama tumesahaulika adi tunaamua kufanya wenyewe.Ujenzi wa Barabara Kwa Sasa Mbeya na Songwe usipime,tunatumia vizuri fursa ya kuwa na Manaibu Waziri huko WizaraniπView attachment 2480407View attachment 2480408
Nyie mlitukumbuka wakati wenu?Na huu ni wakati wenu ila waambie watukumbuke na sisi wa kanda ya ziwa naona kama tumesahaulika adi tunaamua kufanya wenyewe.
Naona kama serikali ya wakati huu inachuki na kanda ya ziwa hakuna barabara ata moja hawamu hii iliyotangaziwa tender, kila siku ni kigoma kwa wakina philipo mpango, mbeya, lindi, songwe, sumbawanga, dar, dodoma na lindi na mikoa yote ya kusini, kwani shida ya kanda ya ziwa ipo wapi???????????Nyie mlitukumbuka wakati wenu?
Mtapata Barabara kuanzia mwaka ujao wa Fedha Kwa Ajili ya kampeni..Naona kama serikali ya wakati huu inachuki na kanda ya ziwa hakuna barabara ata moja hawamu hii iliyotangaziwa tender, kila siku ni kigoma kwa wakina philipo mpango, mbeya, lindi, songwe, sumbawanga, dar, dodoma na lindi na mikoa yote ya kusini, kwani shida ya kanda ya ziwa ipo wapi???????????
Kwahiyo wanakanda ya ziwa hawastahili barabara tena, mbona tunafanyiwa mambo ya hivi waambie ata sisi tunastahili kwani kipindi cha awamu ya tano, shy ilifaidika nini? Simiyu ilifaidika nini? Magu au kwimba basi pelekeni miradi ya barabara ata maeneneo hayo.Mtapata Barabara kuanzia mwaka ujao wa Fedha Kwa Ajili ya kampeni..
Huko Kuna Sgr na faraja ,Barabara za nini tena?
Awamu hii ni zamu ya Kusini na western
Dar hawana madaraja, hawana sgr, hawana brt hawana mabarabara lakini kila siku ni mwendo wa miradi..... Why kanda ya ziwa hawamu hii hawamu inachuki gani na kanda ya ziwa???Mtapata Barabara kuanzia mwaka ujao wa Fedha Kwa Ajili ya kampeni..
Huko Kuna Sgr na faraja ,Barabara za nini tena?
Awamu hii ni zamu ya Kusini na western
Huko Kwa wavuvi ndio ulinganishe na Dar? Kuwa serious basiDar hawana madaraja, hawana sgr, hawana brt hawana mabarabara lakini kila siku ni mwendo wa miradi..... Why kanda ya ziwa hawamu hii hawamu inachuki gani na kanda ya ziwa???
Inashangaza,sielewi nini kinakwamisha miradi ya barabara tena muhimu,mfano kuna barabara muhimu inayounganisha kanda ya ziwa na kaskazini kupitia kusini mwa serengeti,hii barabara ya Kolandoto-Meatu-sibiti mpaka karatu ni njia ya mkato kueleka Mikoa ya kaskazini,ikifunguliwa itachangamsha sana biashara baina ya kanda hizi mbili kwani watu wakutoka Tabora,Kagera,Geita,Mwanza,Shy,Simiyu,Kigoma hawatakua na ulazima wakuzungukia Singida-Babati.Pia kuna barabara muhimu kama ya Kahama-kakola-geita,Kahama-Tabora nk.Kwahiyo wanakanda ya ziwa hawastahili barabara tena, mbona tunafanyiwa mambo ya hivi waambie ata sisi tunastahili kwani kipindi cha awamu ya tano, shy ilifaidika nini? Simiyu ilifaidika nini? Magu au kwimba basi pelekeni miradi ya barabara ata maeneneo hayo.
Mfanyiwe tuu kwani nyie hamkuwafanyia wenzenu? By the way Barabara kule Mara na Kagera zinajengwa mbonaKwahiyo wanakanda ya ziwa hawastahili barabara tena, mbona tunafanyiwa mambo ya hivi waambie ata sisi tunastahili kwani kipindi cha awamu ya tano, shy ilifaidika nini? Simiyu ilifaidika nini? Magu au kwimba basi pelekeni miradi ya barabara ata maeneneo hayo.
Bila wavuvi hiyo dar ikifika hapo bila kunyonya mikoa mingine.Huko Kwa wavuvi ndio ulinganishe na Dar? Kuwa serious basi
Hii serikali bado ina chuki na kanda ya ziwa ata ilani ya ccm haitekelezwi ni kama wanafanya kukomoa kanda ya ziwa kipindi hiki.Inashangaza,sielewi nini kinakwamisha miradi ya barabara tena muhimu,mfano kuna barabara muhimu inayounganisha kanda ya ziwa na kaskazini kupitia kusini mwa serengeti,hii barabara ya Kolandoto-Meatu-sibiti mpaka karatu ni njia ya mkato kueleka Mikoa ya kaskazini,ikifunguliwa itachangamsha sana biashara baina ya kanda hizi mbili kwani watu wakutoka Tabora,Kagera,Geita,Mwanza,Shy,Simiyu,Kigoma hawatakua na ulazima wakuzungukia Singida-Babati.Pia kuna barabara muhimu kama ya Kahama-kakola-geita,Kahama-Tabora nk.