Huo mji bado sana...ukondoa hio barabara ya dual ni kama karagwe tu...Umeanza kutafuta excuses
Hapo sio Katikati ya Mji,Mjini ni sehemu nyingine kabisa nilikoweka zile picha za Mwanzo ndio maana huzioni kwenye picha ya Sasa..
Ni mwendo wa spana tuu Hadi akili ziwakae sawa,unaona draft hii? No uswazi hukuView attachment 2480037View attachment 2480042View attachment 2480043
Vzr sana aisee....patapendeza mno
Bukoba naona wametangaza tender za miradi kibao...sijui ndo tactic au nini ngoja nifuatilie vzr...Hii miradi niliiona nikashangaa shy walivyojipanga ila nilikuwa nasubiri iishe ndio niimwage naona umeniwahi
Bado sana kulinganisha na wapi? Karagwe Kuna Mji? π€£π€£Huo mji bado sana...ukondoa hio barabara ya dual ni kama karagwe tu...
Barabara za mitaa na kutu kwenye nyumba vimefanya nini? Barabara za Mitaa ya Bukoba ziko wapi?Ukiachana na hio barabara...hapo ndo sumbawanga mjini?...
Kama ni kweli...bado sana huo mji...tazama hata barabara za mitaa...na kutu kwenye nyumba
Soko lenyewe na stand ndio hivyo vi render kama vya mabanda ya machinga? ππππ.Acha porojo shy town kumbe wanajenga masoko, stendi na recreational parks kila kata, wewe na mikoa yenu mkibaki kusubiria Igawa roadπππππ
Shopping mall na wasukuma wapi na wapi Mzee? Ukute ni maduka mtu unaita shopping mall ππPia kutakua na ujenzi wa shopping mall kubwa eneo la mazingira center.
Eti ni mapambo kama rock cityShopping mall na wasukuma wapi na wapi Mzee? Ukute ni maduka mtu unaita shopping mall
Itakuwa ni mapambo kama Rocky city
Punguza wivuππππ, hii shinyanga imekaribia kuwa jiji asee, itaipiku lile jiji la walima viazi.Soko lenyewe na stand ndio hivyo vi render kama vya mabanda ya machinga? ππππ.
Stand Kila kata π€£π€£π€£π€£ mtakuwa mnapaki mabaiskeli yaliyojaa hapo Shinyanga au?
Kwani wakijenga mashopping malls kuna tabu? Shy itakuwa manispaa ya pili kuwa na shopping mall itazipiku majiji kama mbeya, dodoma, Tanga ambayo hayana shopping malls, go shy go.....Shopping mall na wasukuma wapi na wapi Mzee? Ukute ni maduka mtu unaita shopping mall ππ
Itakuwa ni mapambo kama Rocky city
Endeleeni kusubiri serikali wakati watu wa shy wameamua kufanya wenyewe kwa machozi, jasho na damu.SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA NA ELIMU JIJINI MBEYA
Na. Michael Msombe, Mbeya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI imeahidi kuboresha miundombinu ya ba...www.msumbanews.co.tz
Kwa pesa gani walizonazo hawafikishi hata bil.4 Kwa mwaka,ndio maana wanajenga mabandaEndeleeni kusubiri serikali wakati watu wa shy wameamua kufanya wenyewe kwa machozi, jasho na damu.
Wale waendesha baiskeli ndio watanda kununua? ππKwani wakijenga mashopping malls kuna tabu? Shy itakuwa manispaa ya pili kuwa na shopping mall itazipiku majiji kama mbeya, dodoma, Tanga ambayo hayana shopping malls, go shy go.....
Jiji la mabaiskeli labdaPunguza wivuππππ, hii shinyanga imekaribia kuwa jiji asee, itaipiku lile jiji la walima viazi.
Nyie mnaokusanya bilioni 100 mbona hamjaweza kufanya mambo makubwa kama ya shy town au kahama.... Endeleeni kusubiri miradi za kulamba watu miguu.Kwa pesa gani walizonazo hawafikishi hata bil.4 Kwa mwaka,ndio maana wanajenga mabanda
Acha kupanic usifananishe shy town na lijiji la mabajaji kama la mbeya.Jiji la mabaiskeli labda
Nani kakudanganya hizo ni render?Hiyo ni miradi inayoendelea kujengwa kwa pesa za ndani za halmashauri.Hizo stand zinajengwa kuna mfumo maalum unaandaliwa wa usafiri wa ndani ya mji ambapo kutatumia magari yakisasa kutoa huduma ndani ya mji.Majengo yakisasa ya machinga unayosema mabanda yamachinga yamejengwa Mnara wa voda,ngokolo mitumban nk.Render zitakazokushangaza zamiradi yakujengwa mwaka huu ndio utatoa povu zaidi,kama vile stand kuu ya mkoa ibadakuli,Parking ya malori buhangija,Shopping mall,EPZ old shy,Soko kubwa la kambarage,Ukumbi wa kimataifa wa mikutanonk.Hapo bado hatujaweka miradi ya kitaifa kama Stesheni ya Sgr,uwanja wa ndege ibadakuli,barabara mchepuko,viwanda vikubwa vya bidhaaSoko lenyewe na stand ndio hivyo vi render kama vya mabanda ya machinga? ππππ.
Stand Kila kata π€£π€£π€£π€£ mtakuwa mnapaki mabaiskeli yaliyojaa hapo Shinyanga au?
Jifunze kutupia picha vizuriNani kakudanganya hizo ni render?Hiyo ni miradi inayoendelea kujengwa kwa pesa za ndani za halmashauri.Hizo stand zinajengwa kuna mfumo maalum unaandaliwa wa usafiri wa ndani ya mji ambapo kutatumia magari yakisasa kutoa huduma ndani ya mji.Majengo yakisasa ya machinga unayosema mabanda yamachinga yamejengwa Mnara wa voda,ngokolo mitumban nk.Render zitakazokushangaza zamiradi yakujengwa mwaka huu ndio utatoa povu zaidi,kama vile stand kuu ya mkoa ibadakuli,Parking ya malori buhangija,Shopping mall,EPZ old shy,Soko kubwa la kambarage nk.Hapo bado hatujaweka miradi ya kitaifa kama Stesheni ya Sgr,uwanja wa ndege ibadakuli,barabara mchepuko,viwanda vikubwa vya bidhaa