Kabisa....inabaki kuwa planned villageMikdde miji ambayo haina magorofa ata kama imwpangika vizuri huwa huielewi kabisa.
Leta render ya hiyo barabara we nguchiro kama ikizidi mita 500, naondoka jf milele.Ya Mwanza mita 100 tuu Iko wapi? π€£π€£
Achaga upimbi ni km 1.2
Analeta kijiji anasema mjiπππππSasa ndio nini hiki sasa...huu ni mji au mvi
Wacha ushamba,Barabara ziko wapi?Sema unapenda sana kuona picha za mwanza..kama unapapenda si uje tu ...kama ishu nauli ,sema ,,,,..by the way Kuna premier line na ruchoro zinatoka hapo sumbawanga Kila siku asubuhi kuja mwanza
Sema ulimbukeni ndio unakusumbua ila Mji Ukiwa planned unakuwa Bora kuliko uswazi wenye magorofa mengiKabisa....inabaki kuwa planned village
Ukitumwa barabara utaleta hizi? ....jifunze kutofautisha kati ya barabara na vichochoro.
Mlimbuken ni wew unayebabaishwa na barabara Moja hyo ....,,,then mbona unaforce picha za mwanza......nishakuambia ,,,,, favor pekee nayaweza kufanya ni kuweka battle ya mbeya vs ilemela...lakin uchafu wako huo sumbawanga,wafaa kufananishwa na ushirombo au runzewe....Sema ulimbukeni ndio unakusumbua ila Mji Ukiwa planned unakuwa Bora kuliko uswazi wenye magorofa mengi
Huko kwenu ni malishoni hakuna Barabara Wala ustaarabu mnaishi kama zizini au dampo ππ.Ukitumwa barabara utaleta hizi? ....jifunze kutofautisha kati ya barabara na vichochoro.
Sumbawanga nzima kuna ghorofa tano nazo ni apartment za NHC.Huko kwenu ni malishoni hakuna Barabara Wala ustaarabu mnaishi kama zizini au dampo ππ.
Sumbawanga πView attachment 2480073View attachment 2480074View attachment 2480075View attachment 2480076
Wewe ni ndezi na mshamba wa huko mwaloni..Mlimbuken ni wew unayebabaishwa na barabara Moja hyo ....,,,then mbona unaforce picha za mwanza......nishakuambia ,,,,, favor pekee nayaweza kufanya ni kuweka battle ya mbeya vs ilemela...lakin uchafu wako huo sumbawanga,wafaa kufananishwa na ushirombo au runzewe....
Miradi kama hii ipo inajengwa karibu kila kata,Kila kata wanajenga soko,stand ya kisasa ya hiace&bajaji,bustani za kisasa za kupumzikiawow ..the diamond town is on
Ndivyo uliona kwenye sensa ziko tano? ππππ.Sumbawanga nzima kuna ghorofa tano nazo ni apartment za NHC.
Pia kutakua na ujenzi wa shopping mall kubwa eneo la mazingira center.wow ..the diamond town is on
Acha porojo shy town kumbe wanajenga masoko, stendi na recreational parks kila kata, wewe na mikoa yenu mkibaki kusubiria Igawa roadπππππNdivyo uliona kwenye sensa ziko tano? ππππ.
Tena miradi inaendelea kwa kasi sema hakuna wapiga picha tu,kila sehemu ukitembelea kuna mradi.Acha porojo shy town kumbe wanajenga masoko, stendi na recreational parks kila kata, wewe na mikoa yenu mkibaki kusubiria Igawa roadπππππ
Karibu sana mzee wa shy town...uwaonyeshe ndoige Hawa uswekeni boysMiradi kama hii ipo inajengwa karibu kila kata,Kila kata wanajenga soko,stand ya kisasa ya hiace&bajaji,bustani za kisasa za kupumzikia
Miji ya kanda ya ziwa hazina matambo mengi.Tena miradi inaendelea kwa kasi sema hakuna wapiga picha tu,kila sehemu ukitembelea kuna mradi.