The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Hivi wewe kiazi unadhani Sumbawanga ni sawa na huko porini Kwa wavuvi?Ukinionesha barabara uko usweken ni four ways, ntakuonesha service road
Hata vipimo hujuo,hiyo ni futi 6 Kwa nini ist isipite? By the way ni maalum Kwa waenda Kwa miguu sio istHivi hii service road inaweza kupitisha ata IST kweliau service road uko kwenu ni special kwa watembea kwa miguu na baiskeli?View attachment 2479983
Kaka huu ulikua mtegoHivi wewe kiazi unadhani Sumbawanga ni sawa na huko porini Kwa wavuvi?
Utakuwa ni mgeni humu jukwaani bila shaka.
Utaaibika Bure,Mwaloni zone nzima hakuna Barabara kama hii
View attachment 2479999View attachment 2480000View attachment 2480001
Hiyo barabara ni dual carriage ya mita 500 ndio inakutoa ushamba je ingefikisha ata 1 km tungepumua kweli humu.Hivi wewe kiazi unadhani Sumbawanga ni sawa na huko porini Kwa wavuvi?
Utakuwa ni mgeni humu jukwaani bila shaka.
Utaaibika Bure,Mwaloni zone nzima hakuna Barabara kama hii
πView attachment 2479999View attachment 2480000View attachment 2480001
Hapo ndio mjini center ya sumbawangaHivi wewe kiazi unadhani Sumbawanga ni sawa na huko porini Kwa wavuvi?
Utakuwa ni mgeni humu jukwaani bila shaka.
Utaaibika Bure,Mwaloni zone nzima hakuna Barabara kama hii
View attachment 2479999View attachment 2480000View attachment 2480001
Hapo ndio mjini center ya sumbawanga
Aisee kahama ni noma ,,,,natamani ningekuwa na drone nikapata picha amazing za kahama ,nikazileta humu.... sumbawanga ni uchafu na takataka mbele ya KahamaNa ina hadhi ya manispaa!
Umeanza kutafuta excuses ππHapo ndio mjini center ya sumbawanga
Mimi ningepat drone ya misungwi aki ya mungu ningelinganisha na neighbourhoods za mbeya na vimji vingine vya nyanda za juu kusiniAisee kahama ni noma ,,,,natamani ningekuwa na drone nikapata picha amazing za kahama ,nikazileta humu.... sumbawanga ni uchafu na takataka mbele ya Kahama
Mimi ningepat drone ya misungwi aki ya mungu ningelinganisha na neighbourhoods za mbeya na vimji vingine vya nyanda za juu kusini
Sasa ndio nini hiki sasa...huu ni mji au mviUmeanza kutafuta excuses
Hapo sio Katikati ya Mji,Mjini ni sehemu nyingine kabisa nilikoweka zile picha za Mwanzo ndio maana huzioni kwenye picha ya Sasa..
Ni mwendo wa spana tuu Hadi akili ziwakae sawa,unaona draft hii? No uswazi hukuView attachment 2480037View attachment 2480042View attachment 2480043
Ya Mwanza mita 100 tuu Iko wapi? π€£π€£Hiyo barabara ni dual carriage ya mita 500 ndio inakutoa ushamba je ingefikisha ata 1 km tungepumua kweli humu.
Mikdde miji ambayo haina magorofa ata kama imwpangika vizuri huwa huielewi kabisa.
Wewe mara nyingi Huwa ni ushamba ndio unakusumbuaSasa ndio nini hiki sasa...huu ni mji au mvi
Sema unapenda sana kuona picha za mwanza..kama unapapenda si uje tu ...kama ishu nauli ,sema ,,,,..by the way Kuna premier line na ruchoro zinatoka hapo sumbawanga Kila siku asubuhi kuja mwanzaYa Mwanza mita 100 tuu Iko wapi?
Achaga upimbi ni km 1.2
Kabisa....inabaki kuwa planned villageMikdde miji ambayo haina magorofa ata kama imwpangika vizuri huwa huielewi kabisa.
Leta render ya hiyo barabara we nguchiro kama ikizidi mita 500, naondoka jf milele.Ya Mwanza mita 100 tuu Iko wapi? π€£π€£
Achaga upimbi ni km 1.2
Analeta kijiji anasema mjiπππππSasa ndio nini hiki sasa...huu ni mji au mvi
Wacha ushamba,Barabara ziko wapi?Sema unapenda sana kuona picha za mwanza..kama unapapenda si uje tu ...kama ishu nauli ,sema ,,,,..by the way Kuna premier line na ruchoro zinatoka hapo sumbawanga Kila siku asubuhi kuja mwanza