Wew utabaki tu hapo chimala ,,maana ndio unapopaweza sehemu classic huziwezi kabisa[emoji116]Mapato ya migodi ya Wazungu ndio unalingia?
Kama Halmashauri Zina mapato kidogo siwezi kuja huko Ni uswekeni na wanaishi maskini.
Sas mapato ya halmashauri si mmekuwa wa mwisho au huioni rukwa [emoji12][emoji75]Sasa csr inaenda Halmashauri,nataka mapato ya Halmashauri per say yanahotokana na biashara za watu directly sio Migodi ,naona unanitoa ufahamu..
Siku Kahama ikifika hapa itakuaje Sasa.Kahama.. kulinganisha na njombe ni upuuziView attachment 2473177View attachment 2473178View attachment 2473179
Kama huna picha Mpya u better not to post....,,,,Ina boa sasaUkifika hapa utasemaje Sasa
Njombe [emoji116]View attachment 2473354View attachment 2473355View attachment 2473357View attachment 2473360View attachment 2473361View attachment 2473363View attachment 2473364
Kagera si ni ya mwisho kila kitu jamani.....We endelea kujichekesha Kwa maumivu wakati Mara imewapumulia pumzi ya moto kwenye mapato [emoji75][emoji116][emoji116]
Mbeya [emoji12][emoji12][emoji12]View attachment 2473345
💉💉💉💉Kama huna picha Mpya u better not to post....,,,,Ina boa sasa
[emoji75][emoji75][emoji90]🥸🥸[emoji83][emoji83][emoji880][emoji880][emoji316][emoji316][emoji316][emoji74][emoji79][emoji74][emoji88][emoji88][emoji205][emoji205][emoji205]Ukinipatia Mahakama kali Kama hii ya Mbeya huko ushagoni mni tag.
Iconic Building of Mbeya High Court [emoji116]View attachment 2473512
Mbona unachagua maeneo..... stendi ni tactics mwezi wa pili wanaanza shughuli zao.Mkileta Stand ya Kahama au Geita nawanunulia bia za mwaka mzima
Njombe[emoji116]
Hapo Kuna Nini zaidi ya porojo za kuuza matunda na stori za nyanzaga ambazo hazikamilikagi tuu.The future is exciting...
Uchumi wa mwanza unaenda milestone far ..huku mikoa mingine itabaki ikiburuza mkia [emoji116]
Haters watasema madini yananufaisha wageni .ebu sikiliza hyo clip hapo
Utaelewa tu [emoji116]Hapo Kuna Nini zaidi ya porojo za kuuza matunda na stori za nyanzaga ambazo hazikamilikagi tuu.