Kahama VS Njombe/Mafinga

Shy town beibeee

Aisee NSSF imetupendelea sana shinyanga..tuna complex investment mbili kahama na shy town ..
Ni mkoa wa tatu kuwa multi Investment za NSSF baada ya mwanza na dar
 
Shy town beibeee
Aisee NSSF imetupendelea sana shinyanga..tuna complex investment mbili kahama na shy town ..
Ni mkoa wa tatu kuwa multi Investment za NSSF baada ya mwanza na dar
Mnategemea Serikali 😁😁.

Songea MC πŸ‘‡
 
Musoma .haivumi lakin imo .it's smarter than mbeya
 
Mapato ya migodi ya Wazungu ndio unalingia?

Kama Halmashauri Zina mapato kidogo siwezi kuja huko Ni uswekeni na wanaishi maskini.
Leo unasema mapato ya migodi eti ..kwani hyo migodi haitoi csr ,,haitoi service levies,haiajiri .. stupid argument
 
Leo unasema mapato ya migodi eti ..kwani hyo migodi haitoi csr ,,haitoi service levies,haiajiri .. stupid argument
Sasa csr inaenda Halmashauri,nataka mapato ya Halmashauri per say yanahotokana na biashara za watu directly sio Migodi ,naona unanitoa ufahamu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…