Busan
JF-Expert Member
- Aug 19, 2022
- 644
- 736
Geita kila Siku inachange Thanks 😊 JPM for your supportGeita beibeee[emoji867][emoji8]
[emoji116]View attachment 2466936View attachment 2466937View attachment 2466938
Geita kila Siku inachange Thanks 😊 JPM for your supportGeita beibeee[emoji867][emoji8]
[emoji116]View attachment 2466936View attachment 2466937View attachment 2466938
Na hii Ina floor ngapi? 👇Floor 9 ndio zinakutisha [emoji12][emoji12][emoji12]..ndio kajengo karefu mbeya nzima [emoji28][emoji28]..
[emoji28]hivi mbeya ilikuwaje jiji kama ndio tujengo twa kuokoteleza kama hvyoNa hii Ina floor ngapi? [emoji116]View attachment 2467989View attachment 2467990
Aisee[emoji12]Na hii Ina floor ngapi? [emoji116]View attachment 2467989View attachment 2467990
Jibu swali,umesema tu floor 9,Hilo Lina floors ngapi?[emoji28]hivi mbeya ilikuwaje jiji kama ndio tujengo twa kuokoteleza kama hvyo
Kwa hyo floor 10 ...ndio inakubabaisha... niletee majengo matano yenye floor 10 hapo mbeya ...ili niache ubishiJibu swali,umesema tu floor 9,Hilo Lina floors ngapi?
Hii Ina floors ngapi? 👇Kwa hyo floor 10 ...ndio inakubabaisha... niletee majengo matano yenye floor 10 hapo mbeya ...ili niache ubishi
ktk vigezo vya tz ili manispaa iwe jiji hakuna sehem ilo andikwa kuwe na magorofa mangap,magorofa siyo kigezo cha msingi.ingekua magorofa ni kigezo cha kua jiji bas hata moshi,iringa,morogoro zinge kua majiji, vigezo vya jiji wana zingatia xna population,mapato,ukubwa wa eneo,na huduma za jamii kama vyuo,hospitali,na viwanda.[emoji28]hivi mbeya ilikuwaje jiji kama ndio tujengo twa kuokoteleza kama hvyo
Floor 6 [emoji75][emoji75]Hii Ina floors ngapi? [emoji116]View attachment 2468091
Nimekuambia niletee 10 floor majengo matano tu.we unaniletea vijumba...[emoji75]
Tulia wew ... vigezo ni hivi hayo ni maoni yako ..ktk vigezo vya tz ili manispaa iwe jiji hakuna sehem ilo andikwa kuwe na magorofa mangap,magorofa siyo kigezo cha msingi.ingekua magorofa ni kigezo cha kua jiji bas hata moshi,iringa,morogoro zinge kua majiji, vigezo vya jiji wana zingatia xna population,mapato,ukubwa wa eneo,na huduma za jamii kama vyuo,hospitali,na viwanda.
Vigezo vya jiji[emoji116]Tulia wew ... vigezo ni hivi hayo ni maoni yako ..
Zingatia maana ya kigezo namba 3sifa zingine ambazo hazipatikani kwenye manispaa ..means miundombinu Bora...sasa kama huna majengo mengi marefu ,,unatofautishwaje na iringa,maana yake huna sifa za ziada za kuizidi iringa .....
Vigezo vyote isipokuwa maybe Cha mapato , mbeya haina .....
Lini mbeya ilikuwa na watu laki 5
View attachment 2468145
GDP ya shinyanga soon itaipiku mbeya [emoji116]Ukarabati wa Barabara ya Makambako-Songea kuanza
Shinyanga GDP Ni sawa na Shinyanga plus Simiyu.GDP ya shinyanga soon itaipiku mbeya [emoji116]
Uwekezaji wa viwanda unazidi kuongezeka.
[emoji116] Kahama View attachment 2468785