Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kila siku tunakwambia hko sisi hatuna shida nako TAZARA ipo Bomba la mafuta lipo ziwa lipo Sasa Cha kutuzid ni Nini zaidi ya sisi kuwa zidi nyie maana saiz huku lami zimemwagila mzee tayari mikoa inaenda kuwa busy mara mbili yake mfano Barabara ya songea road kutoka makambako hadi msumbiji saiz inakuwa lami yote ambayo ni km 417 sawa na morogoro to makambako mwingiliano unaenda kuongezeka zaidi bado makete had mbeya afu kyera hadi kiwira bandarin Kuna njombe hadi ludewa kwenye madini inaendelea kujengwa bado ya lupembe ko hku soon shida ya Barabara Inakuwa haipo wilayo zote wame link kwa lami mzee na nchi jiran ko saiz mabasi ya kwenda msumbiji na baadhi ya maeneo ya malawi yatakuwa yanapita songea road na siku moja yanatoboa mzee
Kwa nini uchumi wenu mnauwaza kwenye mabasi sana?.

Avocado ni dhahabu mnayochezea, zinauzwa bei sana nchi za ulaya, muungane mlilie serikali ili iwepo ndege angalau mara moja kwa wiki pale songwe.
Mwingiliano wa watu hautawasaidia sana kwa sababu mmezungukwa na nchi nyingi maskini tofauti na kanda ya ziwa
 
cc Kitombile

Sio tuu CEO wa TanRoads anatokea Njombe Bali hata Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na CEO wa Ruwasa so maji yatakuwa uhakika 👇

Kwa nini uchumi wenu mnauwaza kwenye mabasi sana?.

Avocado ni dhahabu mnayochezea, zinauzwa bei sana nchi za ulaya, muungane mlilie serikali ili iwepo ndege angalau mara moja kwa wiki pale songwe.
Mwingiliano wa watu hautawasaidia sana kwa sababu mmezungukwa na nchi nyingi maskini tofauti na kanda ya ziwa
Mikoa yetu Ina fursa nyingi tofauti na avocado inayokupagawisha..
Soma hiyoo
👇
 
HAHa we jamaa ko Kanda ziwa ndo mmezungukwa na nchi tajiri acha kujitoa ufahamu mzee nchi za SADC zinaeleweka
Kwa nini uchumi wenu mnauwaza kwenye mabasi sana?.

Avocado ni dhahabu mnayochezea, zinauzwa bei sana nchi za ulaya, muungane mlilie serikali ili iwepo ndege angalau mara moja kwa wiki pale songwe.
Mwingiliano wa watu hautawasaidia sana kwa sababu mmezungukwa na nchi nyingi maskini tofauti na kanda ya ziwa
 
Kazi kazi tazara
FB_IMG_16723374746201863.jpg
FB_IMG_16723375650828449.jpg
FB_IMG_16723375032813048.jpg
 
Mara ngapi unaambiwa Kanda ya ziwa imebeba robo ya uchumi wa taifa hili ..
Mara ngapi unasoma na kuambiwa Kanda ya ziwa inatoa asilimia 95 ya dhahabu na madini ya Vito ya nchi hii
Mara ngapi unasoma Kanda ya ziwa ina watu takribani theluthi 1 ya watu wote nchini
Mara ngapi unaambiwa Kanda ya ziwa inatoa asilimia 95 ya export ya samaki nchini
Mara ngapi unaambiwa Kanda ya ziwa ni lango na hub ya nchi zote za Kanda ya ziwa ..
Be careful bro ....
Huo mradi ni kuifungua nchi kwenda kwenye fursa za kiuchumi.

By then kahama ni next level..size ya mbeya..

Machali Tower View attachment 2463687View attachment 2463688View attachment 2463689
Kahama barabara ni kitendawili
 
Back
Top Bottom