Kahama VS Njombe/Mafinga

Barabara zinajengwa sehemu ambako kulikuwa remote ,na poor accebility....Kanda ya ziwa barabara za kuunganisha mikoa tayari Zina lami ..sa hv tuna deal na barabara za wilaya...
Barabara zenye lami za zinazounganisha Kanda ya ziwa
Barabara ya shy town to Mwanza
Barabara ya musoma to mwanza
Geita to mwanza
Geita to bukoba via chato
Geita to kigoma via nyakanazi
Shinyanga to bukoba via chato
Shinyanga to kigoma via nyakanazi
Geita to rusumo via biharamulo
Geita to kabanga .
Bariadi to mwanza via lamadi
Bariadi to shinyanga via maswa
Bukoba to karagwe
Bukoba to Kampala via mutukula
Tinde to runzewe via kahama.

Barabara under construction
_kahama to geita via kakola
_shinyanga to maswa
Kahama to tabora border via ushetu
Barabara ambazo Tayari zinasubiri bajeti
-Mwanza to nyanguge via airport
-mkuyuni to nyakato
-kahama to mwanza via mwakitolyo
NB .LAMI KANDA YA ZIWA SIO KITU CHA KUULIZA .
 
Kahama to geita nimuhimu xana kiuchumi wawahi kuijenga. Pia kahama to mwanza, kwasababu geita na mwanza kuna madini yakutosha,na selikali ya samia tayali imeamua kahama iwe mineral procesing hurb, kuna martpurpus refinary inajengwa ulipokua mgodi wa buzwagi,kwaiyo hizo barabara nimuhimu sana kwa kusafilisha makemikia hadi kahama.kwaajili ya kuchenjuliwa.
 
Spika ni wanchinzima siombeya2 wala kusin2,ndio maana anaitwa spika wa bunge la jamhuli ya muungano wa tz, halikazalika mawazili na hata rais.hata wana kanda ya ziwa tuna jivunia kua na spika tulia.na ndomaana kahama wamempa mtaa unaitwa tulia.
 
Huku Barabara zinajengwa mzee saiz Kuna Barabara za mitaa makambako alivokuwa ziara mh raisi wazir alisema wakimaliza kuweka taa songea road Kuna Barabara za mitaa za mjini makambako kama km 3 wataweka lami naona kazi tayari imeanza Wanajenga tanrod
 
Watu wa kusini ni acha mjengewe tu barabara maana usafiri ghali wa ndege hamwezi ...
Huwezi amini air tanzania Ina route mbili tu Kanda nzima ya kusini.mbeya na songea
 
Ndio maana mnakuwa maskini tatizo mnapapafikia vitu viwivyo na maana kwenye Maisha yenu
Tutolee ushamba wako hapa ...Duniani kote wanajenga na kuimprove mifumo Yao ya relli we unaongea nini hapa ...huo wivu peleka igurusi huko kwenye mashamba ya mpunga
 
Tutolee ushamba wako hapa ...Duniani kote wanajenga na kuimprove mifumo Yao ya relli we unaongea nini hapa ...huo wivu peleka igurusi huko kwenye mashamba ya mpunga
Wao wanafanya pale inapohitajika Wala sio sifa Kama huko kwa nyie wajinga
 
Spika ni wanchinzima siombeya2 wala kusin2,ndio maana anaitwa spika wa bunge la jamhuli ya muungano wa tz, halikazalika mawazili na hata rais.hata wana kanda ya ziwa tuna jivunia kua na spika tulia.na ndomaana kahama wamempa mtaa unaitwa tulia.
Jitoe ufahamu tuu
 

Unataka Hadi Barabara zinazosubiria Pesa Sasa Kuna tofauti gani na render?
 
Wao wanafanya pale inapohitajika Wala sio sifa Kama huko kwa nyie wajinga
Mara ngapi unaambiwa Kanda ya ziwa imebeba robo ya uchumi wa taifa hili ..
Mara ngapi unasoma na kuambiwa Kanda ya ziwa inatoa asilimia 95 ya dhahabu na madini ya Vito ya nchi hii
Mara ngapi unasoma Kanda ya ziwa ina watu takribani theluthi 1 ya watu wote nchini
Mara ngapi unaambiwa Kanda ya ziwa inatoa asilimia 95 ya export ya samaki nchini
Mara ngapi unaambiwa Kanda ya ziwa ni lango na hub ya nchi zote za Afrika mashariki ..
Be careful bro ....
Huo mradi ni kuifungua nchi kwenda kwenye fursa za kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…