Kahama VS Njombe/Mafinga

MAKAMBAKO TC Moja ya out inayotembelewa Sana na watu nyanda za juu kusini hongera kwa mwekezaji aliye buni hichi kitu chenye zaidi ya ekari 10
 
Uwekezaji nje ya mji makambako unaendelea na hichi ni kiwanja kingine kilichopo songea road takriban km kumi toka katikati ya mji
 
 
Kukubali ukweli ni uungwana mzuri, hata sisi huku mza milimani walichemsha.

Uzuri wa mbeya gharama ya ardhi bado iko chini hata kuhamisha watu ni rahisi kama wakijipanga
 
 
Watu wanailaum mbeya!badala wailaum selikal,maana ndiyo yenyejukumu la kubolesha miundombinu pamoja na huduma za jamii kabla ya kuipandisha na baada ya kuipandisha hadhi.ukiangalia mji wa eldoret nchini kenya, utajiuliza why sio jiji, ingikua bongo wangeisha ipa hadhi ya jiji kitambo.
 
Ukiona hivyo watu wa huko ndio wamelala ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…